Balantanda cha ajabu ni kuwa wameshinda Liverpool but mashabiki wa Arsenal wanashangilia utafikiri wameshinda wao
...
'lottery' babuu, Man U walishajijengea aura ya kwamba wao kwa sasa ni Les INVINCIBLES! ile long run bila kufungwa hata bao moja iliwaletea kibri sana, kuna walioanza hata kusema eti mwaka huu watatwaa makombe matano!
...Binafsi nimefurahia hiyo reality Check walopewa na Liverpool, ...
na bado!, vichapo vingine vinakuja!!!
...
(Arsenal) nafasi ya kucheza Champions League hata kama matarajio ya kushinda ni sifuri, inalipa kuliko kucheza UEFA au intertoto...
Mbu unakumbuka hii?
Mr. Bean anawayeyusha tu, hamna kitu..
...hakika imani yangu imepungua sana kwa huyu 'Gaffer.' Mwenyewe anajitetea timu ilikuwa na majeruhi, kina Rosicky, Eduardo, Walcott, na Fabregas,...
...pengo la FLAMINI, na HLEB limetupunguzia kasi kubwa msimu huu, na imani yake potofu eti Bendtner ni top class striker badala ya kumsajili Obafemi Martin, au E'too wakati nafasi ilikuwepo,...
...no wonder Adebayor anaturingia siku hizi kwakujua hakuna competition ya mfungaji (...labda aliamini Eduardo hatapona!.)