Burudani yenye maumivu Brother,Hakuna shabiki ambaye ataburudika wakati timu yake inafanya vibaya otherwise uwe huna PASSION na timu yako kutoka ndani ya Moyo.
Hakuna maumivu makali kama ya Football kwa sisi wenye Passion na huu mchezo.
WEWE NI MPUMBAVU ANGALIA SASA WEWE NI MTOTO WA JUZI TUNABISHANA UNAFIKIR MIMI NA MAWAZO YA KUBET YAANI UJINGA UJINGA TU HAPA TUNAZUNGUMZIA MATOKEO YA MPIRA MAMBO YA BURUDANI KATAFUTIE CHUMBANI KWAKO NA MPENZI WAKONilikushauri upunguze kubet, vinginevyo unaelekea kujinyonga km mdau mmoja alivyotahadharisha...maana hujielewi...mambo ya kipuzi/ kawaida unamshirikisha Mungu.!! Eti Mungu asaidie! Akili yako haina akili
WEWE NI MPINZANI LAKINI UMEONGEA UKWELIBurudani yenye maumivu Brother,Hakuna shabiki ambaye ataburudika wakati timu yake inafanya vibaya otherwise uwe huna PASSION na timu yako kutoka ndani ya Moyo.
Hakuna maumivu makali kama ya Football kwa sisi wenye Passion na huu mchezo.
Unatumia akili kufikiria au unawaza na mdomo nilikutukana wapi kenge wewe
Draw ni matokeo mazuri ugenini, hakuna haja ya kushikana mashati.
Sent using Cash Money Wings
OK SAWAUnatumia akili kufikiria au unawaza na mdomo nilikutukana wapi kenge wewe
Nilikuwa nakuambia malalamiko yako yapeleke board ya arsenal na sio kutugombeza sisi mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
OK SAWA NKISHAJUA HAUNA AKILI NA UNAONGELEA UPUMBAVU JIBU LANGU LITAKUWA NI OK SAWAFrustration zako zitakuua mpira ni burudani sidhani hata hao wachezaji wa arsenal wanastress kama wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Kuna jambo jifunze kwamba in the end unataka nini kuona laccazet bench au 3 points??? Then ukijua what you want unaangalia mpila
Sent using Jamii Forums mobile app
kidogo amvunje mwana mguu
Nikishajua huna akili siwezi kuangaika na OK SAWA yako ya kizwazwaOK SAWA NKISHAJUA HAUNA AKILI NA UNAONGELEA UPUMBAVU JIBU LANGU LITAKUWA NI OK SAWA
Sent using Jamii Forums mobile app