Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji makombe sasa sio laughing laughing tu
SASA KUMBE UPO PAMOJA NA MIMI WHY UNANIPINGA?
TIMU KUBWA LAZIMA IBEBE MAKOMBE SASA KILA SIKU TUNAFURAH KUSHINDA MECHI 3 THEN TUNARUDI STEP NYUMA MARA MIA TIMU KUBWA MAKOMBE MUHIMU MIMI NAIPENDA ARSENAL TANGIA 98 SABABU NI TIMU KUBWA NA PIA ILIKUWA INABEBA MAKOMBE MAKUBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye makombe tupo pamoja ila unaandka herufi kubwa za nini mkuu zinakera
 
tatizo mchezaji wake 'fundi' anawekwa benchi siku hizi anapewa dakika 10 za mwisho
Ila nadhani atarudi tu ngoja mambo yaendelee kuwiva
Kocha anayejitambua hawez kumtegemea Matteo kama Nguzo eneo la midfield ,dogo anatakiwa kuingi timu ikishashinda

Huyu ndio kamponza sana Xhaka kutukanwa ,

Maana hana Stamina , ni msindikizaji mzuri sana ,

Halafu Xhaka anacheza DM , wakat sio namba yake , na anatumia Left tu, ndio maana alikuwa anafanya blunder sana , Matteo yeye anapiga square pass anaonekana anajua ,

Kiungo namba 8 ana goli 1 na assist 1 toka mwaka Jana ,

Ndio maana ARTETA wala hajajiuliza Mara 2 ,

Kumrudisha Lt11 DM ,xhaka CM ,
 
Hakuna aliyefuatwa nyumbani kuja kuishabikia Arsenal ukiona kama unachelewa hamia hata Simba sc huu msimu wa 3 mfululizo wanaelekea kubeba ubingwa na hakuna timu inayoweza kuikaribia kwa kipindi hiki cha karibuni.

OVER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si ubebe mzee ...ina maana makombe yote hayo hapo kwako unashindwa kubeba walau viwili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta on David Luiz:

"In the games he has played under me so far he has been terrific. His attitude in training, the way he communicates with his teammates, his desire to still learn, it’s superb. I am delighted with him" #Arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…