Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Nimekuelewa Vizuri sanaUnachoongea ni sawa. Ila kaka kuna mashabiki wanataka/wanatamani club zao ziwe na wachezaji mastar.
Mimi na wewe tunaweza kuelewa hali halisi za uendeshaji wa timu zetu, mapato na matumizi, plan ya club kwa sasa na kwa baadae.
Lakini kuna mashabiki wengine hayo hawaelewi. Yeye anajiuliza kama Arsenal club kubwa na maarufu alitegemea wanasajiliwa mastar na madogo wasingepewa nafasi. Sijui kama umenielewa.
Wanaona kama dogo anatupotezea muda. Tena akisikia stori baadae dogo atakuwa mchezaji mkubwa hapo ndio hakuelewi kabisaa atauliza how about now.
Mbaya zaidi shabiki akiangalia wapinzani zkuna mashine kama de bryune, mane shabiki anachanganyikiwa kabisa.
Kwahiyo hizi ndio changamoto za mashabiki kwa mapenzi ya timu yao. Mawazo hayawezi kufanana hata siku moja.
Sent using Cash Money Wings
Dogo anakaz sana ya kum convice Arteta ,Arteta anasema kiwango cha Bellerin kimeshuka sana, which means huenda hatamtumia
SIBISHANI NA MJINGA HAUNA HOJA BADO NIMEKUTUSI SABABU HAUNA HOJA ACHA NIENDELEE KUJADILIANA NA WENZANGU WENYE HOJA AMBAO HATA WAKIZITOA HUWA NASEMA HAWA WANANICHALLENGEKwahiyo nafanyaga usajili Mimi paka isichukue makombe kisa Mimi
Timu ni nyingi za kushabikia nenda Barca kama unataka makombe
Tuliza mtori naona arsenal inakupa presha sana na unakuja na mihemko yako hapa unahisi hiyo board ya arsenal ndio sisi au?
Sent using Jamii Forums mobile app
HATA MIMI NASHANGAA BELLERIN KUWA HIVI LABDA MAJERUHI ILA HUYU ANAPENDA SANA FASHION NA MITANDAO KAMA LINGARDArteta anasema kiwango cha Bellerin kimeshuka sana, which means huenda hatamtumia
XHAKA NI MTU MUHIMU SANA ARSENAL KWA SASA TENA ANGEONDOKA HALAFU KATI AKAE MATTEO DUH SIJUI INGEKUWAJE SIPATI PICHAAuba amesajiriwaje kibahati? Sijakuelewa hapa ,
Kreonke family imeanza kuimiliki Arsenal 100% mwaka Jana ,na dirisha kubwa wametoa £130+m za usajiri
Na taarifa zinasema Dirisha kubwa watampa tena Arteta hela zaidi ya £100+m za usajiri .
Unaposema tuuze wachezaji tununue wengine , una uhakika ukimuuza Xhaka utampata mchezaji wa kuziba pengo?
Kumbuka viungo wa kawaida tu ni £50-70m ,
Je umefikiria anaingia kwenye mfumo wa mwalimu, au ndio Yale ya Mou kumsajiri Fred kwa £52m na Sanchez kwa mbwembwe asijue anawatumia vipi?
Nimesema Nelson sio mbaya , chin ya Areta kacheza mech 4 ana goli 1 na assist 1 , na Kama ni mfatiliaji utaona kabisa dogo anabadilika. , ndio maana ni backup ya Pepe, kama atasajiriwa mtu mwingine , dogo akakosa nafas atapelekwa loan , arsenal haiwez kuwauza kwa sasa ,
Willock hawez kupata namba labda ceballos aumie ,
Arteta apongezwe kwa hili kapambana hadi amebaki ,XHAKA NI MTU MUHIMU SANA ARSENAL KWA SASA TENA ANGEONDOKA HALAFU KATI AKAE MATTEO DUH SIJUI INGEKUWAJE SIPATI PICHA
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe wakati mwingine uwa sikuelewi, erickesn badala ya ozil? This is not Chelsea, we do not buy discarded players. kila mechi anatokea bench ndio tumchkue?Nafasi ya ozil aingie eriksen mnunueni kutoka totte.
Sent using Cash Money Wings
Sasa wew mzee kuandika maherufi makubwa ndio hoja? Unajaza server tu za jf huna hoja zozote unazotoa
Yule mdau aliekua anamtetea Matteo naona yupo kimya siku hizi hapiti humu jukwaaniArteta apongezwe kwa hili kapambana hadi amebaki ,
Maana Kiungo cha Xhaka L11 huwa kipo compact
Lakini ukishaona kuna Mateo xhaka au lt11 Mateo hiyo mech inapwaya sana
Emery sijui alikuwa anatuaminisha nn kusema Mateo lazima aanze first eleven
Tunahitaji makombe sasa sio laughing laughing tuOzil:
"These are the things that he is working on with us & you can see it – everyone is smiling, laughing, enjoying their time at the moment & this has made us be successful now" #Arsenal View attachment 1318438