Sehemu ya kiungo bado inahitaji watu wa kazi kazi. Hii partner ya Xhaka na Guanduz huwa siielewi.Kiukweli hii timu yetu inahitaji marekebisho makubwa ila kuna watu humu hawataki kusikia ukweli.
Nawakumbusha tu kuwa kwenye mechi 15 tumeshinda mechi 2 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi hii inaonesha ni namna gani Lucas Torreira alivyo na umuhimu kwenye sehemu ya kiungo cha Arsenal.Hadi sasa Leeds wana shoots on target zaidi ya 8 huku Arsenal ni 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Havioni aibu kutaka kutuaibisha nyumbani Emirates 😎Hivi vitoto vya Leeds havina adabu
Lemar huyu kwakuwa mdogo bado sawa , ila pale atletico sijui nn kimempata
Alikuwa moto sana , Arsenal tulimkosa kidogo, Liverpool nao wakamkosa
Cha ajabu kawa flopp , aje angalau bench liwe na watu ili wale watoto waende loan
Mpaka Arteta apate timu anayohitaji kuna wachezaji wengi sana wataondolewa Arsenal, hawa akina Guendouz, Nelson wataondolewa polepole tu.Sehemu ya kiungo bado inahitaji watu wa kazi kazi. Hii partner ya Xhaka na Guanduz huwa siielewi.
Siku Lucas Torreira akiwa majeruhi basi timu itarudi kule kule enzi za Unai Emery tu
Kwa sababu wanakuenyesha wewe basi unadhani ni kila timu Leeds sio kwamba ni timu nzuri kiivyo tatizo wamekutana na Arsenal ambayo haina nyuma wala mbele ipo ipo tu.Leeds inazizidi kiwango timu nyingi za premier league......
Angalia msimamo...angalia gd ilivyo tofauti na wenzake... Angalia kocha wake.... Angalia timu za EPL zilivyopelekwa na za huko championship FA.... Halafu angalia matokeo ya hizo timu zikikutana na Leeds........ukileta ushabiki hutaelewa..Kwa sababu wanakuenyesha wewe basi unadhani ni kila timu Leeds sio kwamba ni timu nzuri kiivyo tatizo wamekutana na Arsenal ambayo haina nyuma wala mbele ipo ipo tu.
Nitajie timu za EPL 3 tu ambazo Leeds inazishinda uwezo,Labda naweza kukuelewa.Angalia msimamo...angalia gd ilivyo tofauti na wenzake... Angalia kocha wake.... Angalia timu za EPL zilivyopelekwa na za huko championship FA.... Halafu angalia matokeo ya hizo timu zikikutana na Leeds........ukileta ushabiki hutaelewa..