[emoji419]#KUHUSU USAJIRI HII NI KAULI YA ARTETA KWENYE PRE CONFERENCE
[emoji1593]Hii ni jana baada training session na full squad
[emoji1313][emoji1313]
Mikel Arteta says he will sit down with [Raul, Edu] to discuss the upcoming transfer window. He has some 'ideas' that will be discussed. [@Sky sport news]
Kwa msingi huu hapa kocha hajatamka yeyote anaye muhitaji kwa jina bali ataspecify ni kitu gani anahitaji maboresho gani january hii akimaliza mazungumzo na edu na sanleh
Kwa misingi hii hizi tunasikia sijui volland sijui martens ni media tu ndio zinapublish nothing come from staff
Kwahiyo tutajua tunahitaji nini baada ya mazungumzo ya hawa watu watatu maana sanleh alisha dokeza tutakuwa active
Ndio maana kwa sasa tuwe wapole professional wanafanya kazi kwa utaratibu hawapublish tu but media zinaweza fanya hivyo ndio kazi yao hiyo kuuza habari
Japo hatuwezi kuzuia tetesi hizi ndio nyakati zake ila tujifunze sio kila tetesi ni sahihi tukaivalia njunga tukifunze kutafuta #reliable_sources
[emoji1593]Mfano
#Sky_sports_news
#Bbc_sports
#David_ornstein
#Fabrizio_romano
#James_benge
Nk:
Hatutoki na hatuhami
View attachment 1302208