Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Naomba iendelee kuwa tetesi tu,hilo dau kubwa sana...mimi nasema NO.Arsenal have been linked with making a player-plus-cash offer for Leicester ace Wilfred Ndidi in the January transfer.
New Gunners boss Mikel Arteta knows one of his most pressing priorities is to make Arsenal much tougher to beat, with serious questions having been raised over the defence for some time.
Defensive midfielder Ndidi could help give Arsenal's back four some protection, having done so for a Leicester team which has conceded just 14 goals this season - the joint lowest amount in the Premier League along with Liverpool .
And the Gunners are set to offer Granit Xhaka plus £40million as they bid to sign Nigeria international Ndidi, according to Leicestershire Live .
Hiyo pesa ni kubwa lakini nakuhakikishia huyo dogo Ndidi akija Arsenal akaungana na xhaka pale kwenye kiungo mkabaji halafu akampata Dayot Upamecano ambae ataungana na Chambers, Holding na tule dogo ambaye bado yupo ujerumani hakika tutaanza kutembea baràbarani huku tunatabasamu!.. Tatizo la Arsenal kwa muda mrefu ni beki na viungo wa kati na Ndidi ni moja ya Viungo bora kabisa kwa sasa!.. Kiukweli naanza kumwamini sasa Arteta, maana jana Aroon Arsenal katupia tetesi hapa kuwa tunataka kusajili forward, sasa nokawa nawaza tu hivi tumerigwa na nani?...Naomba iendelee kuwa tetesi tu,hilo dau kubwa sana...mimi nasema NO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pesa ni kubwa lakini nakuhakikishia huyo dogo Ndidi akija Arsenal akaungana na xhaka pale kwenye kiungo mkabaji halafu akampata Dayot Upamecano ambae ataungana na Chambers, Holding na tule dogo ambaye bado yupo ujerumani hakika tutaanza kutembea baràbarani huku tunatabasamu!.. Tatizo la Arsenal kwa muda mrefu ni beki na viungo wa kati na Ndidi ni moja ya Viungo bora kabisa kwa sasa!.. Kiukweli naanza kumwamini sasa Arteta, maana jana Aroon Arsenal katupia tetesi hapa kuwa tunataka kusajili forward, sasa nokawa nawaza tu hivi tumerigwa na nani?...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Aroon hili dili likifanikiwa hakuna tena timu itakayoweza kupiga goal on target 30 pale kwetu!Arsenal are set to offer Granit Xhaka plus £40m as they bid to sign Nigeria International midfielder Wilfred Ndidi. #LCFC #AFC [@leicslive]
Tukiwapa xhaka na mpunga wa maana watamuachia tu maana Xhaka anathamani ya £40 au £45Ndidi itakuwa bonge la usajili Arsenal. Swali Leicester watakubali kumuachia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndidi namkubalia, lakini sio rahisi Leicester amuachieHiyo pesa ni kubwa lakini nakuhakikishia huyo dogo Ndidi akija Arsenal akaungana na xhaka pale kwenye kiungo mkabaji halafu akampata Dayot Upamecano ambae ataungana na Chambers, Holding na tule dogo ambaye bado yupo ujerumani hakika tutaanza kutembea baràbarani huku tunatabasamu!.. Tatizo la Arsenal kwa muda mrefu ni beki na viungo wa kati na Ndidi ni moja ya Viungo bora kabisa kwa sasa!.. Kiukweli naanza kumwamini sasa Arteta, maana jana Aroon Arsenal katupia tetesi hapa kuwa tunataka kusajili forward, sasa nokawa nawaza tu hivi tumerigwa na nani?...
Sent using Jamii Forums mobile app