Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ivan Gazidis???KUTOKA CHANZO CHA KUAMINIKA ,
KAVEH , REPORTER WA SKY SPORT
Mikel Arteta now favourite to become Arsenal manager. Chief exec Ivan Gazidis wants new manager to:
1. Keep playing progressive football.
2. Embody & reflect the values of the club.
3. Take keen interest in developing young players.
Arteta ticks all those boxes.
No Raul sanheilIvan Gazidis???
Hata hao wawili nao watamchoka tu, mara ya kwanza bodi nzima ilimkingia kifua now wamebaki wawili.. Ngoja tupoteze game 2 hivi nao watamchoka ***** zao.Bodi imechafukwa
Most of members wanataka unai afukuzwe
Kuna wawili wanamkingia kifua
Nadhani siku zinahesabika
Hapa ndipo ninapoona tofauti ya club yetu na Club nyingine kubwa kama Tottenham, Chelsea n.k. Wenzetu hawana muda wa kusubiri jahazi lizame ndio wafukuze kocha. Unai kashashindwa tayari sasa tunasubiri Muujiza gani mwingine?Hata hao wawili nao watamchoka tu, mara ya kwanza bodi nzima ilimkingia kifua now wamebaki wawili.. Ngoja tupoteze game 2 hivi nao watamchoka ***** zao.
Bora waache kwenda uwanjani, ili hata sisi mashabiki uchwara wa huku kwa mtogole, letu la kutaka unai atoke litimie.Hapa ndipo ninapoona tofauti ya club yetu na Club nyingine kubwa kama Tottenham, Chelsea n.k. Wenzetu hawana muda wa kusubiri jahazi lizame ndio wafukuze kocha. Unai kashashindwa tayari sasa tunasubiri Muujiza gani mwingine?
Tunaogopa kulipa Fidia yake tukivunja mkataba? Mashabiki wanazomea timu sasa, tunapoelekea wataanza kutokwenda uwanjani kabisa.
Mzee Oscar tabarezMkuu mchukueni yule kocha wa Timu ya taifa Uruguay. Ataendana na falsafa ya Arsenal
Mkuu ongea na mod wakubadilishie hilo jinaGabari za hasubuhi wakuu.....
Hahaha usiwe unapostigi aise