Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mourinho asilan abadan hawezi pesa kazi arsenal that is clear. Na hilo linasababishwa na mambo mengi tu yakiwemo kumtukana Wenger waziwazi.Mou hapana mkuu, We are arsenal the gunners, remember the philosophy, kitu kitachomuondoa Unai Arsenal sio matokeo mabovu tu ila na mpira mbovu anaofundisha, hii imefanya Fans wengi tumeshindwa kumvumilia hasahasa hilo la mpira mbovu, Poch ni bora kuliko Mou kwa style ya Arsenal.
Kwangu mimi Mou aende spurs ikiwezekana Poch aje Arsenal.
Yeah ni lazima kocha apewe muda, watu hujitathmini na wenye akili hubadilika na kuwa watu Bora mzee.siulikuwa unamkubali na kumtetea sanaa unai emery??, umeona mechi ya jana ya uruguay na argentina jinsi torreira alivyokiwasha kwenye natural position yake...
Factna hapo arsenal akichelewa atamsikia poch kaibukia bayern munich....
Gud ibiningGood morning every body....
Without love we can't move positively...Gud ibininghii ID yako hatuitaki kwenye huu uzi wa arsenal asee unatutia hasira tu
Hii ID yako buana inatutia simanzi sana!.. Unaonaje ukiibadilisha hata iwe EDU GASPER, angalau tutapata faraja kidogo!..we make the environment of team building, so as the Arsenal family we need to be patient in order to achieve our goals
Kumtoa atletico si kazi nyepesiDiego simeone
Hakuna utoto wala NININimefurahi sana Morinyo kutokuja Arsenal. Arsenal ina utoto sana. Kocha mwenye malengo makubwa Arsenal ya sasa atakwama.
Club haiko serious haijui inataka nini katika soka top 4, makombe au faida kibiashara?
Sio club ya kuweka mategemeo kwa kweli. Uwepo wao kwenye ligi hauna madhara ila faida ipo watani zetu tumewazoea na tunawapenda.
Tunataka angalau wabebe makombe makubwa kama Uefa tatizo lao ni moja tuu utoto mwingi.
This was January 2018 mzee. Let's seeMmeipata hii View attachment 1267591
Kitambo sana alisemaga hayaMmeipata hii View attachment 1267591