Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mkuu umeongea ukweli, Poch ni bonge la kocha lakini Arsenal yetu hawalioni hili.Actually, I would get Poch to Arsenal without even having a second thought. The board should act now yaani
Ngoja tuone mkuu maana atleast now kwenye safi ya uongozi tunae mtu wa football (Edu) labda mambo yatabadilikaMkuu umeongea ukweli, Poch ni bonge la kocha lakini Arsenal yetu hawalioni hili.
Emery sijui ana shida gani mkuu,kweli ameshindwa kutufurahisha hata kidogo!!, kupata timu kubwa ikakuvumilia kwa matokeo mabovu sio rahisi.Pochettino juu ya kuifikisha timu UEFA final last season has been sacked by Tottenham Hotspur, sisi tunasubiri nini???
Emery hafai hata kufundisha Arsenal u18Emery sijui ana shida gani mkuu,kweli ameshindwa kutufurahisha hata kidogo!!, kupata timu kubwa ikakuvumilia kwa matokeo mabovu sio rahisi.
Halafu kwenye statement ya Spurs wamesema kabisa, Poch hajashinda any of the last five games. Yaani kama Sisi tu lakini wenzetu wame-act faster ili Sisi sasa duh!!!!Emery sijui ana shida gani mkuu,kweli ameshindwa kutufurahisha hata kidogo!!, kupata timu kubwa ikakuvumilia kwa matokeo mabovu sio rahisi.
Kinachoniuma Mou anaelekea SpurzActually, I would get Poch to Arsenal without even having a second thought. The board should act now yaani
Aaagggghhhhhh board yetu mashaka matupu. Kuna mijitu kwenye hiyo board hata mpira haijachezaKinachoniuma Mou anaelekea Spurz
Tottenham are considering José Mourinho as new manager, after sacking Pochettino. And José would be open to start a discussion with Spurs. Daniel Levy will decide on next hours.️ #THFC #Tottenham #Spurs #Pochettino
Poch hana kazi now, huyo ndio kocha anayeweza kushindana na Pep, na klopp, unless otherwise labda twende kwa Ten hag, waliobaki wengi wao naona wazugaji tu kama Emery.Emery hafai hata kufundisha Arsenal u18
Diego simeonePoch hana kazi now, huyo ndio kocha anayeweza kushindana na Pep, na klopp, unless otherwise labda twende kwa Ten hag, waliobaki wengi wao naona wazugaji tu kama Emery.
Ila huyu kocha ulikuwa unamkubali sanaAaagggghhhhhh board yetu mashaka matupu. Kuna mijitu kwenye hiyo board hata mpira haijacheza
Yaah! Huyu naye yuko vizuriDiego simeone
Upo sahihi ,ni wakati MZURI sasa kumleta Poch kama Mou ataelekea kwa wapinzan wetuPoch hana kazi now, huyo ndio kocha anayeweza kushindana na Pep, na klopp, unless otherwise labda twende kwa Ten hag, waliobaki wengi wao naona wazugaji tu kama Emery.
Huyu huwez kumng'oa kirahisiYaah! Huyu naye yuko vizuri
Mou hapana mkuu, We are arsenal the gunners, remember the philosophy, kitu kitachomuondoa Unai Arsenal sio matokeo mabovu tu ila na mpira mbovu anaofundisha, hii imefanya Fans wengi tumeshindwa kumvumilia hasahasa hilo la mpira mbovu, Poch ni bora kuliko Mou kwa style ya Arsenal.Kinachoniuma Mou anaelekea Spurz
Tottenham are considering José Mourinho as new manager, after sacking Pochettino. And José would be open to start a discussion with Spurs. Daniel Levy will decide on next hours.️ #THFC #Tottenham #Spurs #Pochettino
siulikuwa unamkubali na kumtetea sanaa unai emery??, umeona mechi ya jana ya uruguay na argentina jinsi torreira alivyokiwasha kwenye natural position yake...Aaagggghhhhhh board yetu mashaka matupu. Kuna mijitu kwenye hiyo board hata mpira haijacheza
na hapo arsenal akichelewa atamsikia poch kaibukia bayern munich....Mou hapana mkuu, We are arsenal the gunners, remember the philosophy, kitu kitachomuondoa Unai Arsenal sio matokeo mabovu tu ila na mpira mbovu anaofundisha, hii imefanya Fans wengi tumeshindwa kumvumilia hasahasa hilo la mpira mbovu, Poch ni bora kuliko Mou kwa style ya Arsenal.
Kwangu mimi Mou aende spurs ikiwezekana Poch aje Arsenal.
HahahaaaMou hapana mkuu, We are arsenal the gunners, remember the philosophy, kitu kitachomuondoa Unai Arsenal sio matokeo mabovu tu ila na mpira mbovu anaofundisha, hii imefanya Fans wengi tumeshindwa kumvumilia hasahasa hilo la mpira mbovu, Poch ni bora kuliko Mou kwa style ya Arsenal.
Kwangu mimi Mou aende spurs ikiwezekana Poch aje Arsenal.
Yeah ni lazima mtu apewe time mkuu. Watu hutakiwa kujifunza kutokana na makosa yao. Sasa huyu mwehu hajifunzi hata, issue ya ozil na lt11 amezi-handle vibaya mnoIla huyu kocha ulikuwa unamkubali sana