Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Losing against Liverpool ilikua na % kubwa kuliko sisi kuwafunga wao.

Kikosi chao ni kilekile. Bila ingizo jipya. Wamezoeana na wanajuana kuliko sisi.

Viungo wao walikua stronger wakisapoti mno beki yao. (Hapa ndiyo naonekana mbaya nikimkataa Matteo)

Mwishoni kabisa formation yetu na watu aliowaweka na timu tuliyocheza nayo ilikua haviendani. Willock, Xhaka na Guendouz siyo combo nzuri ukicheza na Liva. Mmoja hana uzoefu, mwingine hana stamina wala control na mwingine katokea majeruhi.

Ceballos alikosa wa kumpa mipira akaonekana takataka kwenye ile gemu.

Halafu Lacazette unamuacha nje.

Mchezaji anayeweza kuforce goli humuachi nje labda awe kaumia. Ila aliachwa.

Hii gemu hadi leo inaniuma. Tulikua na uwezo wa kuanguka huku tunafight lakini ilikua hovyo sana.
 
Unai siku zake zinahesabika
 
Ceballos: “Aubameyang is like Ronaldo when he was at Real Madrid in the sense that he plays close to the goal he lives for scoring. He's very important for us.

"But Lacazette, for me, is the best player. He understands the game perfectly & he's going to give us so much." #AFC
 
My lineup vs Watford (A):

Auba
Nelson Ceballos Pepe
Guendouzi Torreira
Kola Luiz Chambers AMN
Leno

- Xhaka dropped.
- Chambers deserves another chance.
- Auba better through middle. Edges it over Laca.
 
Wilfried Zaha wants new agent after failure to secure move to Arsenal or Everton in summer transfer window .
Zaha ni mchezaji anayeweza kutamba na timu kama Crystal Palace, Everton n.k. timu kubwa hawezi kushine. Niliona sawa tu vile ishu yake ilivyoishia kua tetesi tu.
 
HATIMAYE ZAHA KAMFUKUZA AJENTI WAKE
NI MUDA MUAFAKA JANUARY KURUDI KWA ZAHA....

Wilfried Zaha sacks agent over failed Arsenal and Everton moves #Arsenal
 
Zaha ni mchezaji anayeweza kutamba na timu kama Crystal Palace, Everton n.k. timu kubwa hawezi kushine. Niliona sawa tu vile ishu yake ilivyoishia kua tetesi tu.
Sikweli maana ndio amemature sasa hivi , ngoja aende hizo timu kubwa kwanza ndio tumjaji

Pale man u alikuwa bado mdogo, nafas finyu ,presha kubwa.....
 
HABARI NZURI KWA WANA ARSENAL

Hector Bellerin and Kieran Tierney have been training with the first team this week. That is very good news.
 
With Holding also involved today, Arsenal now have just one senior player (Mavropanos) not currently in full training. Obviously, Bellerin and Tierney will still be some way off being considered for game time, however.
 
| #AFC

Kieran Tierney, Hector Bellerin & Rob Holding are all back in full training. They participated in today’s training session At London Colney.

Despite Tierney & Bellerin back in full training, they will still be some way off being considered ready game time.
 
Arsenal’s Dani Ceballos:

“I’ve never seen anything like what I saw at Anfield; I haven’t seen a team that plays better, that presses like them, the way the fans carry them along.”
 
Bernd Leno:

"You can’t compare that, of course Arsenal is a world club, THE club here in London. Not Chelsea, not Tottenham. Arsenal is the club here with fans around the world. No matter where we are, also in the USA or in Asia, there are many fans of Arsenal everywhere." #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…