Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mimi naamini timu itafungwa mengi kama haitaiheshimu timu pinzani.Sijawahi kufikiri kama Emery ni kocha anayeweza kufanya tukacheza soka la maana. Nafikir aliletwa atuvushe tu kwenye matatizo yetu.
Ataenda kwa Liverpool kujihami tu kitu ambacho sikipendi mm
Wakuu, kiukweli hizi ni mechi zinazotuangusha miaka yote, Unai anabidi aje na utofauti kwenye mechi kama hizi na akifanikiwa kwenye hili basi ataweza kuirudisha Arsenal right where it belongsMimi naamini timu itafungwa mengi kama haitaiheshimu timu pinzani.
Mfano Chelsea alikufa 4 kwa watoto kwa kua overconfident. Arsenal tulikufa 8 kwakua hatukutaka kuheshimu kua kwa kipindi kile timu kama ile hatukutakiwa kuishambulia kwa kujiachia.
Point yangu ni kwamba, tuheshimu ukweli kua Liva ina utatu wa hatari pale mbele. Mane ana spid, Salah ana spid kubwa (kumbuka Bellerin alichofanywa) Firmino hana spid kuwazidi hawa ila analijua goli.
Tukicheza kwa kutoheshimu hilo tutaumbuka. Soton kapigwa 2, sisi tusipoheshimu yatakua makubwa.
Hivyo Arsenal ijitahidi kukaa sana na mpira, ikabe sana, counter attack za kutosha. Liva imeruhusu goli kila mechi waliyocheza hii inamaanisha beki yao bado siyo tamu sana, pia inamaanisha kipa wao siyo mtamu sana vilevile. Hivyo mashuti ya nje ya 18 yawe mengi.
Ila Guendouz, Monreal, Willock na Nelson wakianza hii gemu na Liva ikawaanzisha Salah, Mane na Firmino tutegeemee muujiza kupona.
Ingekua kwenye PES halafu mi ni Arsenal na ina hawa wachezaji na ndo nakutana na Liva. Ningetumia formation ya 4 4 1 1.Wakuu, kiukweli hizi ni mechi zinazotuangusha miaka yote, Unai anabidi aje na utofauti kwenye mechi kama hizi na akifanikiwa kwenye hili basi ataweza kuirudisha Arsenal right where it belongs
Timu nyingiChief kabla ya VAR ni timu ngapi zimepata pointi 'deceivingly'?
Haahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.Ingekua kwenye PES halafu mi ni Arsenal na ina hawa wachezaji na ndo nakutana na Liva. Ningetumia formation ya 4 4 1 1.
Beki angekua Luiz, Sokratis, Debuchy na Kolasinac.
RMF angekua Pepe, LMF angekua Ceballos.
DMF angekua Toreira.
CMF angekua Niles.
AMF angekua Lacazette.
CF angekua Aubameyang.
DMF angehakikisha havuki dimba la kati hata kama timu inashambulia.
Beki zingekua zinasogea hadi dimbani timu inapokua inashambulia, CB wawili wanakaa post moja na DMF.
RB na LB ndiyo wangepressure attacks kwa kua nyuma ya RMF na LMF kumpa msaada akipokonywa mpira.
Kipa Leno.
Ila sasa hiyo ni PES kwenye maisha halisi moto unaweza kuwaka ingawa mipango yako ni mizuri.
Kwa Niles akae Luiz. Niles awe CMFHaahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoorviungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).
Hapa ushind asubuhi tu, ila emery simuamin mpaka nione lineupHaahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoorviungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).
Duh babu umepanga kikosi kizuri ila nile na chambers siwaamini kwa pressure kubwaHaahahaaa chief hiyo kweli ni PES mana umemtaja Debunchy hapo wakati kwasasa hayupo arsenal.
Me nadhani kwenye game dhidi ya liverpoorviungo wawe Xhaka, Torreira na mbele yao awe Cebalos, shavu la kulia Pepe kushoto Auba na kati asimame Lacazette. Beki ya kati akae Papaa na Chambers, left back asimame Kolasinac the tanker kulia Maitland Niles (Japo huwa simuamin kwenye kukaba kwake).