Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Nilikwambia nitakunyoa tu kivyovyote vile sasa hivi huna uwezo wa kubeba kombe mbele yangu,kazi iliyobakia ni kuzunguka tu kwenye majukwaa ya watu HahahahahahahahahAlivyokuwa Arsenal alikuwa anafunga kwa kichwa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi mpka miguu inatumika ipasavyo...
This is Chelsea...
Unawaza Burnley kuchukua point EMIRATES wewe jamaa kipigo kimekuvuruga.Come on Burnley [emoji123][emoji123]
Tuna iman hamtatuangusha.
Kila la kheri timu yangu Burnley..
Acha kupoona hayo mambo. Hili jukwaa wenye nalo walishahama timu"I think the fans, and us, are with them together." View attachment 1182928
Mbona unateseka kijana ?Acha kupoona hayo mambo. Hili jukwaa wenye nalo walishahama timu