Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
NITAKUWA SINA SHUKRANI NISIPOWAPONGEZA VIJANA LEO
Timu ambayo imeenda kwa Newcastle ikiwa na vitoto vinne kwenye first eleven na ikashinda huku ikiwa imemiliki mpira kwa sehemu kubwa, huku wachezaji 10+ wakikos cha kwanza wakiwa hawapo au kuuanza kabisa .
Leo hawakuwepo hawa
Luiz
Laca
Pepe
Ozil
Kolasinac
Belle
TIERNY
Ceballos
Lt11
Holding
NA BADO TULIWEZA KUMILIKI MPIRA NA KUONDOKA NA 3 POINTS NA CLEAN SHEET ,
shukrani kwa bao la Aubamiyang
View attachment 1178675
Habari njema hizi! Natamani PARTNERSHIP ya Sokratis na Holding, it'll be one of the solid back line.Emery said in his press conference that Holding will play again for the U23s v Blackburn tomorrow.View attachment 1178667
Hata ya Holding & Luiz itakuwa nzuriHabari njema hizi! Natamani PARTNERSHIP ya Sokratis na Holding, it'll be one of the solid back line.
Yan mtafungwa hadi mchakae eti holding & Luiz sub MustaphaHata ya Holding & Luiz itakuwa nzuri
Kumfunga huyo mgonjwa Chelsea basi makele yote humu?Nyie wapuuzi sajili zenu mmeibiwa.. Huyo cebalos kaoza pepe anatoka farmers league... Eti asumbue epl
Naona Leo kumfunga mgonjwa bas unahisi umemaliza ligi, sisi wachambuzi wabobevu , tunasema bado una timu mbovu ,4-0 zimeziba msione ,ila muda ni rafik ,nadhan umekuja Leo humu baada ya kushindaYan mtafungwa hadi mchakae eti holding & Luiz sub Mustapha
Yan mtafungwa hadi mchakae eti holding & Luiz sub Mustapha
Hawa waropokaji mkuu, hajui hata kuwa mustafi Leo hakusafiri na timu maana anauzwa,Mustapha ndio yupi?