Huwez kumfananisha DAYOT na rugan
Dayot kamzid mbali Rugani , unadhan wajinga Leipzig Kuwaeekea release clause £100m yeye na Konate?
Rugan hajaprove uwezo wake hapo juve kwa kukosa namba ,
Acha masihara basi umemcheki Upamecano youtube au unaongea tu.huyo Upamecano ni mchezaji wakawaida mno. Ni debe kubwa kwa kua ni mfaransa. Na pesa ni nyingi sana wanazotaka. Rugani anaweza sajiliwa kwa nusu yake tu. Na ana potantial kubwa ya kuwa Big player. Mana ni very talented defender alichokosa ni uzoefu tu mpaka sasa.
Acha masihara basi umemcheki Upamecano youtube au unaongea tu.
Kwa kweli aiseee. I know one of my friend alihama arsenal nkaenda city because of stresses, nlimwambia hiki ni kipindi cha mpito tu, utarudi one day.Labda nasisi tutafrahi mwaka huu
Kila mwaka machungu.... du.
bhass huyo si shabiki wa damu. huyo rafiki yko ni wakike?Kwa kweli aiseee. I know one of my friend alihama arsenal nkaenda city because of stresses, nlimwambia hiki ni kipindi cha mpito tu, utarudi one day.
COYG
Heee kwa hiyo leo hii ukitaka kuangalia uwezo wa mchezaji ambaye hukuwahi muona unafanyje mkuu???Football haichezwi YouTube
Nimegundua hamjui anamsikia tu dayotAcha masihara basi umemcheki Upamecano youtube au unaongea tu.
Heee kwa hiyo leo hii ukitaka kuangalia uwezo wa mchezaji ambaye hukuwahi muona unafanyje mkuu???
Haaahaaha jamaa acha mbwembwe mkuu AROONZaha akija Nitaomba uongoz wa jf unipige Ban ya siku 2 kwa heshima yake
Niache uongo Mimi ni fan mkubwa wa kutupwa wa Wilfred zaha ,toka enzi hizo Wenger anamuhitaji ,anamkosa anaelekea man u,Haaahaaha jamaa acha mbwembwe mkuu AROON
Ni shabiki aiseee, ila bado alikuwa anaipenda arsenal. Fainal tulivyopigwa nne na Chelsea aliumia kama mimi tu japo alikuwa anafichabhass huyo si shabiki wa damu. huyo rafiki yko ni wakike?