Hata dili la Coutinho aliyeharibu ni Madrid kumtaka neymar, hawa wahuni walishalimaliza
Hahahaha......umenifanya nicheke. Kuna watu wanatamani kufanya kama Arsenal kipindi hiki ila ndio uwezo hawana.David luiz To Arsenal kwenye £45m imetoka Cash 8 toa 25 ya Tierney Toa 10 .5 ya Pepe inabaki 1.5
Hii £1.5m tunashusha coutinho usiulize anakujaje
Kwako Raul & Edu Gaspar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1175293
Hii kule primary school tuliitaga MAGAZIJUTO.....David luiz To Arsenal kwenye £45m imetoka Cash 8 toa 25 ya Tierney Toa 10 .5 ya Pepe inabaki 1.5
Hii £1.5m tunashusha coutinho usiulize anakujaje
Kwako Raul & Edu Gaspar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1175293
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda vitu vya bei cheeUnaacha rugani unachukua luiz!! Si udwanzi huo
Acha kuteseka mkuu, hiyo ni short plan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda vitu vya bei chee
""Mchezaji gani ataacha timu ya maana aende Arsenal"", unaikumbuka hii mkuu uliongea juzi hapa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda vitu vya bei chee
Aliletaga mboyoyo humu et kwa £45m tutasajiri nn""Mchezaji gani ataacha timu ya maana aende Arsenal"", unaikumbuka hii mkuu uliongea juzi hapa???
Shida yako we jamaa mahaba yamekuzidi, nikwambie tu kama ulikua hujui Chelsea ni timu ya kawaida sana, we unaichukulia kama ni level za Barca na Real[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda vitu vya bei chee
Love is blind mkuuAliletaga mboyoyo humu et kwa £45m tutasajiri nn
Real?From [emoji632] || Juventus have agreed a 2yr loan deal for Daniele Rugani with Arsenal. Personal terms with the player have also been agreed.