Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Wa moto haswa ttzo letu la msingi bado ni beki wa katiDah martinel mtoto anajua
Hivi jamaa tukitaka kumnunua permanent itawezekana?Ceballos anajua
Atatusaidia ,anakaa na mpira
Inawezekana , Rais wa Madrid alisema tutajadili hilo msimu ukiisha ,lakin ujio wa Don van beek ,na pogba kujipeleka pale , itafanya tumchukueHivi jamaa tukitaka kumnunua permanent itawezekana?
Imekuwa vzr kufungwa kwa goli kama LILE , tunatakiwa kupata beki kiongozWa moto haswa ttzo letu la msingi bado ni beki wa kati