Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
we jamaa sijawahi kukuelewa kabisa....nadhani ww si mshabiki wa arsenal,unajificha nyuma ya kivuli chetu....kashabikie timu yako tu mzee....achana na sshii timu sishawishiki tena kuiamini wasenge sana litimu la hovyo kila siku kutuumiza tuuuu sitaki tena litimu la kisenge kama hili arsenal
Huyo sio mshabik wa arsenal, alibet ameliwa ,hasira ndio kazileta hukuwe jamaa sijawahi kukuelewa kabisa....nadhani ww si mshabiki wa arsenal,unajificha nyuma ya kivuli chetu....kashabikie timu yako tu mzee....achana na ss
Andika vizuri basi mbona umeandika kisukuma mzeeHuwa sajili zenu zinaonyesha Arsenal itakimbiza kinoma, lakin mambo yanakuja kuwa Yale Yale ..msimu uliopita mulichukua yule papanin sjui, gundogazzi, Toroira, Leno, na wengine wengin. Badae mukaongeza d Suarez ..tatizo niny munasajili wachezaji munaotaka ninyi tu ..husikii timu ingine ikiwataka. Ndo tatizo apo na hamustuki..mnaleta magarasa yanacheza gemu tano/sita yameshachoka. Uyo Pepe katoka ligi ya wakulima uko kaja kukutana na viungo wenye roho mbaya akina Kante Ngolo, Joghihno, ajakutana na kiungo ya Liver, kuna iyo ya manure achana na iyo ya Man city kuna iyo ya spurs na madogo flan if wa Everton na mbeha wenye njaa kali Wolverhampton hahaha hii timu ya arsenal ni vichekesho kweli kweli. Halafu munaona mumesajili na ela zenu za kulipa kwa mafungu
We jamaa unateseka sanamkuu ela zao wanatoa kwa mafungu, sasa cjui pepe alijui hili suala ..wanaeza mlipa jamaa kwa mafungu au per game
Namkubali Eddie ,abaki asiende kwa mkopoAccording to The Sun, Eddie Nketiah was heading for a loan spell at Bristol City, but Emery could now decide to keep hold of the England Under-21 international.
Would you like to see Eddie stay, or go on loan?
#AFC #Arsenal #transfers https://t.co/BzEVNqMMjN
reports that both Pierre-Emerick Aubameyang and Alexandre Lacazette have been one year extensions at Arsenal. Both deals still have some time to run with the former Borussia Dortmund star’s contract expiring in 2021, while Lacazettes expires the following year. It has been suggested in the past that both players could be set for an offer in excess of £200,000/week.View attachment 1171933