Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Beki zipo za kutosha na nyingine zinakujaMnasajili mshambuliaji mna mabeki jamani? Au ndio ile unafunga goli tatu zinarudi zote na unaongezwa?
Beki zipo za kutosha na nyingine zinakuja
Kisiki Robert Holding amerud , sokratis yupo
Ana makosa gani sasa , au hujui tatizo kwa arsenal ni Mustafi na LB?
Kama na kwa Sokratis mnahesabia mna beki basi kazi ipo