Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Process endelevu wakati hamna beki wa kiwango sasa hivi paleMkuu huwezi kusajili backline yote ndani ya kipindi kimoja cha usajili. Hii ni process endelevu ndio maana kocha akasema tuna-add watu wataoongeza quality sio quantity.
Pia njia bora ya kujilinda ni kushambulia, ukitufunga goli tatu sisi tuna uwezo wa kukufunga sita, kwanini tuwe na hofu?
HILI dirisha ni gumu ,hata pep kasema juziDirisha limekuwa gumu sana misimu hii kadhaa. Wachezaji wengi ni wa kuwatafuta kwa microscope.
Nadhani hata kuwasajili wachezaji kwa mapesa mob kumepelekea pia soko kuyumba.
10m pounds for a player who only played Championship and League 1 football with only one year left on his deal is a very good price.OFFICIAL: Krystian Bielik has signed for Derby County. #afcView attachment 1170365