OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Ilikuwa ni dream yake kuja darajani ..yeye ana amini itatimiaUlitaka aende wapi?
Ndio tunasubiri tuone mchango wake kwenye clabu hii ya arsenal..Ndo ameshakuja
Izo ela mnalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Aston Villa analipa cash iliyokamilika ninyi munalipa kwa mafungu hahaha..hahaArsenal's incomings in the transfer window:
Dani Ceballos [loan]
William Saliba [£27m]
Gabriel Martinelli [£6m]
Nicolas Pépé [£72m]
Kieran Tierney [£25m]
Not bad for a £45m budget.
Izo ela mnalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Aston Villa analipa cash iliyokamilika ninyu munalipa kwa mafungu hahaha..haha
Acha ushubwada ,Izo ela mnalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Aston Villa analipa cash iliyokamilika ninyi munalipa kwa mafungu hahaha..haha
Hizo ndoto zilikuwa enzi akiwa Anger hata hajaenda lilleIlikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Ilikuwa ni dream yake kuja darajani ..yeye ana amini itatimiaNdio tunasubiri tuone mchango wake kwenye clabu hii ya arsenal..
Alikuwa anadanga humu ohoo MNA bajeti ya 40 , hakujua hiyo ilikuwa mind game tu ya viongoz wa Arsenal kwenye soko la USAJIRI,In the end what counts ni usajiri acha reasoning za sungura aliechemka ndizi
Badala usubiri Tami Abraham kinana na jirud ,unamsubir pepeIlikuwa ni dream yake kuja darajani ..yeye ana amini itatimiaNdio tunasubiri tuone mchango wake kwenye clabu hii ya arsenal..
Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Anadai kwa kuwa walifungiwa , HahahaaaUna Moyo mkubwa sana,hivi mchezaji gani wa maana atakuwa na ndoto za kuchezea timu ndogo kama chelsea?nyinyi ni underdog pale england sawa na nottingham forest,blackburn rovers na leicester city
Kwani legend wenu DROGBA alikua anaipenda timu gani kipindi hajaja chelsea,,,mbn unaongeaga pumba we jamaa!Ilikuwa ni dream ya Pepe kujiunga na mabingwa wa kihistoria, wababe wa London Chelsea lakini kutokana na kufungiwa usajili imeshindikana. Tuna iman bado ndoto yake itatimia tu ..nimtakie maisha mema apo Emirates japo akili yake ipo Stamford
Muda mwingine unawapuuza tu , muache adange humu ndio kawaida yakeKwani legend wenu DROGBA alikua anaipenda timu gani kipindi hajaja chelsea,,,mbn unaongeaga pumba we jamaa!