Kimya kingi kina mshindo, huenda zaha ikawa danganya Toto tu kama ilibyokuwa ktk dili la pepe,
Kumbuka Arsenal inasemekana waliandaa proposal ya kuituma kwa Gremio
Na baada ya Everton kukataliwa ofa YAO ya £55m kwa zaha, nasikia wameshusha bei ya Zaha hadi £60m
Mm kati ya zaha au Everton Soares yoyote akija nitafurahi ,WOTE ni LW