Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
sio ujinga, ana-relate level ya investment tuliyofanya na waliofanya wengineKocha wetu Unai amesema sisi fans tujiandae kisaikolojia msimu ujao. Hii ina maanisha hana mpango wa top four au kombe lolote lile ..haoni kama timu yetu Arsenal itafanya lolote la maana msimu ujao. Je sisi fans tukubaliane na kali yake? Yani ata ligi bado keshakata tamaa?? uyu kocha mjinga sana..
#bringBackourWenger
Wewe unamuamini huyo chizi?sio ujinga, ana-relate level ya investment tuliyofanya na waliofanya wengine