Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Asenali itabaunsi baki, cheki speed yake by mwezi wa pili next year!
Yeah! Kitambo sana Rev...Kibz.. I missed you my friend... mwaka huu mpya mtashika nafasi ya ngapi?
Waachane nae!! Everton anafaa sana!! Sijui kwanin ila ndio sifa ya ubinadamu huwezivkuwa perfect!! Huwez kujua kila kitu, una wachezaji wako free wangetusaidia arsenal!!! Yasin brahim!! Hector Herrera huyo kaenda zake atletico!!Ofa ya £60m + chamber itakuwa ndio ofa ya mwisho kwa Zaha,
Costa nidhamu mbovu,Atletico wamemshindwa ,Waachane nae!! Everton anafaa sana!! Sijui kwanin ila ndio sifa ya ubinadamu huwezivkuwa perfect!! Huwez kujua kila kitu, una wachezaji wako free wangetusaidia arsenal!!! Yasin brahim!! Hector Herrera huyo kaenda zake atletico!!
Halafu huwa natamani saana kumuona diego costa akikinukisha EPL, hasa ndani ya uzi wa the gunners.