Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu kauli ya kusema Arsenal timu mbovu ninayeongea ni mimi tu au wapo wengi kati yao hadi makocha waliokuwa magwiji?Bas mkuu mambo ya arsenal huyafahamu, maana arsenal unaposema timu nzima mbovu ni uongo, na ndio maana nilikushauri ukahangaike na maswala ya usajir ya Liverpool kuongeza depth ,
Unasema Arsenal mchezaji mzur ni Auba wakati si kweli , Auba bila laca hatembei, halafu arsenal hiyo hiyo unayosema mbovu nzima , ilipotea mwisho katika mech 3 kati ya 38 ili tu imalize nafas ya 3.
Matatizo yaliyotokea ndio hayo Timu inahangaika kuyafanyia kazi ,
Matatizo hayo ni CB , CM , LW &RW
ambapo Emery Jana amesema Kuna maingizo katika ya wachezaji 2-4
Ambapo amesema Wanatafuta mchezaji mmoja wa gharama ambaye itakuwa ni LW, then maingizo mengine yatafata.
Ambapo LW ni Zaha, Everton au Malcon au Pepe
RW amepandishwa Nelson ,Micky au Auba
CM anatafutwa either Ceballos au lemina
CB inategemea mpaka auzwe mmoja wapo waliopo sasa ,huku akisubiriwa holding alone
LB Tierney if possible klabu itaachana nae ,maana anahitajika for the future
Hivo sijajua unabwabwaja hapa wakati Liverpool mnataka EPL hamjasajiri ,je Fatigue ikiwakamata msimu unaokuja ? Je unajua CB wako vvd akiumia tu ,timu ita struggle sana wakati city anachanja mbuga .
Wewe una timu nzuri ndio maana umesajiri sijui hujasajiri ,unachosahau , ni man city pekee mwenye depth ya kueleweka , na mwenye uwezo wakuendelea na moto ule ule wa msimu ujao, wewe top 4 una uhakika ila bila depth hakuna ajuaye kama utaweza kufukuzana na city ambaye jeshi lake limekamilika.
Hivo nakushangaa kuja kujifariji huku kwenye usajiri wa Arsenal ,
Matatizo ya Arsenal sisi tunayajua ,na Ndio maana juzi mashabiki tumeuwasha moto kuhusu bodi ,
Halafu mi nilikuwa nimecomment tu habariBas mkuu mambo ya arsenal huyafahamu, maana arsenal unaposema timu nzima mbovu ni uongo, na ndio maana nilikushauri ukahangaike na maswala ya usajir ya Liverpool kuongeza depth ,
Unasema Arsenal mchezaji mzur ni Auba wakati si kweli , Auba bila laca hatembei, halafu arsenal hiyo hiyo unayosema mbovu nzima , ilipotea mwisho katika mech 3 kati ya 38 ili tu imalize nafas ya 3.
Matatizo yaliyotokea ndio hayo Timu inahangaika kuyafanyia kazi ,
Matatizo hayo ni CB , CM , LW &RW
ambapo Emery Jana amesema Kuna maingizo katika ya wachezaji 2-4
Ambapo amesema Wanatafuta mchezaji mmoja wa gharama ambaye itakuwa ni LW, then maingizo mengine yatafata.
Ambapo LW ni Zaha, Everton au Malcon au Pepe
RW amepandishwa Nelson ,Micky au Auba
CM anatafutwa either Ceballos au lemina
CB inategemea mpaka auzwe mmoja wapo waliopo sasa ,huku akisubiriwa holding alone
LB Tierney if possible klabu itaachana nae ,maana anahitajika for the future
Hivo sijajua unabwabwaja hapa wakati Liverpool mnataka EPL hamjasajiri ,je Fatigue ikiwakamata msimu unaokuja ? Je unajua CB wako vvd akiumia tu ,timu ita struggle sana wakati city anachanja mbuga .
kwaiyo aroon, Celtics hawata mshikilia kwa mkopo msimu mzima, atakuja direct arsenal badaa ya malipo?!Saliba is on his way to Arsenal. While the original bid was just over 30 million euros, the British have greatly improved their proposal against the competition of their rival Tottenham. According to our information, Saliba will be exchanged for 33 million euros plus 7m bonuses.
Huwez kuijaji Arsenal ni mbovu kwa mech hiyo ya fainal ,Sijaja kujifariji mkuu , Liverpool ni timu ambayo mashabiki wake hususani Wa huko huko Uingereza ndio wameihujumu mpaka imefika hapo ilipo kwa kutanguliza harakati za Uzawa kuliko chochote na nimeshasemaga kabisa makombe yanayofuatia ya EPL YAPO MIKONONI MWA PEP GUARDIOLA
Madhaifu ya Klopp tunayajua hawezi kuwa level moja na Guardiola, sijatabiriaga LFC ubingwa kabisa
LFC hata asipo sajili bado yuko na timu nzuri kuliko nyinyi, huo ni ukweli
Bado haijawekwa wazi, japokuwa Saint Etienne wanahitaj abak kwa loankwaiyo aroon, Celtics hawata mshikilia kwa mkopo msimu mzima, atakuja direct arsenal badaa ya malipo?!
Basi endelea kukoment ,japo inaonesha huelewi unachoongea, nimeshangaa ulivyolielezea swala la Celtic ,Halafu mi nilikuwa nimecomment tu habari
William Saliba chose Arsenal over Spurs - he will loaned back this season
Arsenal working on deals for Cabellos on loan and the permanent transfer of Kieran Tierney
[@bbcsport_david]
Gary cahil? Kwa beki yetu Arsenal haiwez kumsajir huyo jamaa,Arsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.
Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.
Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.
Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.
Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.
Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.
Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.
Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
Kama kweli ,maneno Aliyoongea Jana Emery yatatimia basi kuna asilimia 80 kikosi cha next season kikawa hiki ,japo Bellelin na holding watazikosa mech za mwanzoArsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.
Hivyo Saliba na Ceballos usajili umekamilika.
Everton huenda nae akasajiliwa na Tierney zitaongezwa pesa kwa sababu ya usajili mkopo wa Ceballos.
Hivyo imebakia kuamua iwe Zaha au Everton au wote wawili.
Lakini Boss nae ameharibu utaratibu mzima wa kumpata CB.
Arsenal inaweza kumsajili Gary Cahill ambae ni free agent kwa "cover" ya mpaka January.
Pia wanaangalia kumtumia Granit Xhaka kama CB ikibidi kwa msimu ujao mpaka January.
Halafu, Arsenal inajiandaa kumtangaza Granit xhaka kama nahodha mpya.
Wabrazil wanasema jamaa anasepaArsenal itasajili wachezaji inaowahitaji.