makota1809
Member
- Jan 2, 2015
- 51
- 32
Naamin ni uzushi....hata kama n kawaida yetu kuuza but not this time...asa kwa piereKweli kuna watu hawana huruma na timu za wenzao kwa Arsenal hii ilivyo wakianua Torreira na Aubameyang itabaki timu kweli Hahahahahahahahah Binadamu wabaya
Toreira hauzwi mkuu,Kweli kuna watu hawana huruma na timu za wenzao kwa Arsenal hii ilivyo wakianua Torreira na Aubameyang itabaki timu kweli Hahahahahahahahah Binadamu wabaya
Kwa umri wa Auba kama timu inajitokeza na kutoa mpunga wa maana bora tumuache aende halafu tutafute winger mwenye nguvu na kasi. Lakini pia Arsenal hatujawahi kuwa na tatizo la forward maana kila mwaka tunafunga magoli mengi tu. Tatizo letu limekuwa backline na midfilders... Toka tumchukue Sol cambell (spelling) toka tottenham na yule mcameroon Etate Mayor (sijui kama nimepatia jina) hatujawahi kupata mabeki imara kabisa ukiondoa enzi za akina Tonny Adams.Toreira hauzwi mkuu,
Hata auba ,japo mm simkubal auba maana ni finisher tu, MTU pale ni Lacazette,
Auba hawez kupambana na mabeki wenye nguvu,
Iwapo man u wataleta 70 kwa auba ,nabarik aende ,
Hata emery sio mfuasi wa auba na ozil ,maana ni walaini,
Kwa umri wa miaka 30 ,na tunaomjua auba , kwa 70 aisee ni biashara nzuri sana
Toreira ameshasema haondoki arsenal
Sisi kwa uzi mzuri tu huwa hatujambo.
Kwa kweli tuna uzi mzuri saaaanaSisi kwa uzi mzuri tu huwa hatujambo.
Hahahahahahahahah Palace wameuza beki kwa Β£ 55ml wakuuzie Zaha kwa Β£ 40ml serious hahahahahahahahahEmery na Mimi tunamuelewa sana Zaha,
Emery juzi kauambia uongozi anamuhitaji zaha,
Leo tumetuma 40 ,
Wanaosema zaha ni watimu ndogo sijawahi kuwaelewa
Hao man u wameshikishwa ni kawaida Yao,Hahahahahahahahah Palace wameuza beki kwa Β£ 55ml wakuuzie Zaha kwa Β£ 40ml serious hahahahahahahahah