Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
#Sampdoria have answered to #Arsenal that want €55M at least for Joaquim #Andersen (value €30M) and Dennis #Praet (value €25M). Contacts ongoing. #transfers #AFC
mafunguMsimu huu tutafanya usajili wa maana au ndio tutasajili wachezaji wa Mafungu?
Liverpool sold Jordan Ibe for £16.2m, Dominic Solanke for £19m and are now demanding £12m for Ryan Kent.Umesema kweli mkuu, watu wanamlaum tu bure mzee wa watu! Kimsingi timu ijipange kwa kufanya usajili wa akili kwa hicho kodogo kilichopo. Pia wakiuza baadhi ya wachezaji inaweza ikapatikana fedha kwa ajili ya kununua wachezaji wengine..
Umekuja kurogaTeam adimu kwa makombe
Inawezekana ikawa hivo. ,maana bado usajiri ni tetesi tu zimekuwa kibao
Inasemekana walipost wakafuta, huenda inasubiriwa tarehe 1/7 , utambulisho wa adidas jez mpya na dili hilo ,
pamoja sana mkuuInasemekana walipost wakafuta, huenda inasubiriwa tarehe 1/7 , utambulisho wa adidas jez mpya na dili hilo , View attachment 1126118View attachment 1126119
Hata mimi nimesikia hii kitu, lakini pia ukiongeza na ukweli kuwa Kroenke amekuwa hachukui faida inayopatikana pale Emirates, ni wazi kuwa hili dili la adidas litakuja kutuboost. Pia kumbukeni Emery aliwahi kusema msimu huu asernal itatafuta van dijik wake, sasa ili kupata back line imara itabidi fedha iongezeke japo kidogo ili kufikia malengo
Daah, mbona Ospina anaenea kwa fedha jiduchu hivi?..Kwema wadau?
tetesi za asubuhi asubuhi
Ac Milan wanajaribu kuweka offer litakalomshawishi Lucas Torreira kwenda kuwatumikia ikiwa ni uwekezaji mkubwa wanaopanga kuufanya kuimarisha kikosi
Arsenal ni kama watapata upinzani kutoka Bayern Munich ambao wapo tayari kutoa £30m kwa ajili ya kunasa sign ya Yannick Carraso endapo Man City wakizuia Leroy Sane kwenda Bayern...
Darren Burgess aliyekuwa director of High performance anatarajiwa kuondoka Arsenal, inavyoonekana backroom ya Arsenal inavurugana sana juu ya matokeo ya timu kwa msimu ulioisha.
Hector Bellerin anatarijiwa kuwa captain wa team kwa msimu unaoanza. Ikumbukwe Arsenal walikua na makapteni wa 5 Koscienly,Ramsey,Granit,Petr na Ozil ambapo tayari Ramsey na Petr wanaondoka Kos na Ozil uwepo wao tena Arsenal una mashaka. Hivyo anabaki Xhaka peke yake.
Arsenal wamewapa muda Napoli mpaka mwisho wa wiki wawe wamefanya maamuzi kama watakua tayari kutoa £3.1m kwa ajili ya kumsign David Ospina kwa permanent deal.
Vyombo vingi vya habari vinamtaja Ryan Fresser kutoka Bournemouth kuwa ni chaguo sahihi kwa Arsenal kama itamsajili na bei yake ni £ 20m. ila bajeti ndogo ya Arsenal ndio inawapa wakati mgumu na kama watamkosa Carraso basi watahamia kwa Ryan.