Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game tushakufa ,tukutane msimu ujao kwenye FUTUHI .Ila Hanna njia kweli ya kumtimua Kronke manake kwa timu hii msimu ujayo hata FUTUHI tunaweza tusishiriki.Mwisho hongera Chelsea you deserve it.Good night.
 
Kamati ya Misiba watuletee maturubai na masufuria ya kupikia mapema Mkuu Ollachuga waandaewale vijana wa kuokota watu watakao zimia wakati wa kuaga mwili wa marehemu.
 
Ka timu kama haka Eti bajeti yake ya usajili ni Β£100 ml serious
 
Kuna watu wataanza kumlaumu Cech.... Niliacha kuangalia baada ya goli la 2. Emery OUT!!!!!!
 


Alex Iwobi na goli la kufutia machozi.

😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…