#afc team: Cech, Sokratis, Koscielny, Monreal; Maitland-Niles, Xhaka, Torreira, Kolasinac; Ozil; Lacazette, Aubameyang.
3-4-1-2
Huu mfumo hajawahi kuchomoka mtu,,
Ila akipangaga 4-4-2, n.k tunalamba lolo
Muhind kaipa arsenal odd ya 3, aisee ifateni arsenal , huo mfumo hajawahi kupona kenge yeyote