Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Emery says we can buy players in the summer who will have a similar impact to what VVD had at Liverpool. I like the sound of this.
Amesema kumpata beki kama VVD mwenye kuleta impact inawezekana bila kutumia 75!View attachment 1064023
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwanini unasema hivo, kwan watu wa recruirment kaz yao ni nini,?sio lazima ampate kama vvd, ila anaayeweza kumudu majukumu ,Ataondoka Arsenal hajampata mtu wa aina ya VVD.
Kwanini unasema hivo, kwan watu wa recruirment kaz yao ni nini,?sio lazima ampate kama vvd, ila anaayeweza kumudu majukumu ,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tunatumia wasaka vipaji ,angalau tupate watu wanaoridhisha kwa bei nzuri, sio kushikishanaIssue kubwa ni budget, Arsenal nayoijua haiwezi kutoa zaidi ya 45 kwa beki, means itabidi atafutwe ambaye mnaanza kumtengeneza tena.
Ready made ni gharama ambayo Arsenal hawako tayari kuingia.
Tunatumia wasaka vipaji ,angalau tupate watu wanaoridhisha kwa bei nzuri, sio kushikishana
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu arsenal sio wauzaji wa ovyo ovyo, labda mchezaji alete kiburi au kugoma ,ndio atauzwaChangamoto itakayokuja ni kujikuta mnatakiwa kumwandaa kwa zaidi ya msimu mmoja, akija kuwa fit timu zenye hela zinakuja kumtafuta.
Mfano summer tulitumia only £71m kuwapata Leno ,toreira,sokratis na Matteo
Ambapo kwa hela hiyo hiyo Chelsea wanashikishwa kipa tu
Watatu , Leno , toreira na sokratis,Kwa wachezaji hao mlio wanunua ni yupi aliyepanda thamani?
Means amefit kwenye timu na hakuna wasiwasi wa namba yake?
Watatu , Leno , toreira na sokratis,
Matteo amekuwa plan B na ameonesha development nzuri, kwa bei tulizowanunua, kwenye transfer market wamepanda thaman zaidi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Toreira hajapoa labda kama humfatilii, ni hapa katikati amekosa mech kadhaa tu,Okay, siwezi kukubishia sana lakini mimi nawaona bado ni wale wale tu.
Torreira alipewa hype kubwa mwanzoni ila baadae akapoa, Sokratis muda wake unaisha.
Kidogo Leno namwona kama ana ceiling kubwa kulinganisha na hao kina Torreira.
Jitahidini kumtafutia beki wa kumpa cover.
Nyie mnanunuaga wachezaji ambao hawana ushindani wowote wanakuja epl wanacheza gemu kumi wanapotea.Unai Emery Azungumzia mikakati yake Arsenal katika dirisha kubwa la Usajili:
"Tunajitahidi kununua baadhi ya wachezaji ambao watatuletea vitu vipya , ambao watakuja hapa nakutupa uwezo mzuri kama alionao Van dijk wa Liverpool "
.
( www.arsenal.com)
View attachment 1064033
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Unanunua vichezaji vinakuletea kombe moja baada ya misimu minne..Mkuu arsenal sio wauzaji wa ovyo ovyo, labda mchezaji alete kiburi au kugoma ,ndio atauzwa
Kwasasa tunatafuta MTU wa kuziba pengo la msaka vipaji,
Leo emery ndio kazungumza tutaingia kwenye soko la usajiri lakin tutatafuta watu makini ,
Mfano summer tulitumia only £71m kuwapata Leno ,toreira,sokratis na Matteo
Ambapo kwa hela hiyo hiyo Chelsea wanashikishwa kipa tu,
Msimu huu iwapo tunarud UCL,bas bajeti itapanda £100-150m , hapo ukiwa na wataalamu wa mpira unapata wachezaji wazuri tu,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hivi huoni umeshikishwa pazia kepa kwa hela ndefu ,na jojino ,hakuna hata wanachofanyaUnanunua vichezaji vinakuletea kombe moja baada ya misimu minne..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inatokea cheltako, siunakumbuka mlivyotupigia kelele kuhusu jojino, kikowapi sasa hivi,Nyie mnanunuaga wachezaji ambao hawana ushindani wowote wanakuja epl wanacheza gemu kumi wanapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app