Auba pamoja na kufunga brace lakini hajawa na makali ya kuwezesha timu kuchukua Europa, lazima ajisahihishe anakosa magoli mengi. Jana niliangalia mechi iliyotangulia ilionesha jinsi Giroud wa Chelsea alipokuwa anapata hatrick yake ya away huko Kiev, anaonesha ana vitu fulani ambavyo Auba lazima avitafute kama,
Kwanza, ni clinical finishing and agility, muda wote mshambuliaji anatakiwa ajue goli lilipo na awe tayari kupokea mpira na kuutendea haki, sasa jana mipira inamkuta kama hayuko alert ndio anaishia kukosa magoli. Hata upigaji wake wa penalty nina mashaka nao kidogo, ila ngoja apige nyingine ndio itajulikana vizuri.
Pili, uwezo wa kukaba timu ikiwa inashambuliwa
Tatu, physical presence threat especially in 50-50 balls to false defenders mistake, ingawa hii ni ngumu kwa kuwa mwili wa Auba ni mdogo
Nne, winning aerial duels, being used as wall to bounce balls when attacking at numerical disadvantage.
Tano, with regard to his experience, was that mask necessary to draw a yellow card while heading to the quarter final not just a league? Jana Giroud pamoja na kupata hatrick lakini sijamuona akivua fulana ambayo ingempelekea apate yellow card.