Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Sasa huyo garasa ana form gan toka aje hapo au ana class ganJua kutofautisha kati ya form na class.
Kuna msimu walikuwa wanamlinganisha Pogba na Henderson sahivi wamejificha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepunguza kelele mtaanKwao ni zaidi ya kuchukua kombe la uefa mkuu.
Aje azibe pengo LA Ramsey, japo mpaka sasa sijaona wakuvaa viatu vya ramseyJamaa yupo poa sana ....japo hpo ataathiri ukuaji wa gondouzi ,..nahis wanacheza style sawa ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramsey pale alete mtu Kama banega nadhani atakuwa sahihi sana .,...na centre back mzuri mmoja maana captain kachka sana now days ....Aje azibe pengo LA Ramsey, japo mpaka sasa sijaona wakuvaa viatu vya ramsey
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale hayo matapishi kama umeyapendaShida viporo vimezidiView attachment 1044634