Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe fala kweli ,Ndio ujinga wa gooners gay huu....wanatoa mtoto huko mchangani anacheza mechi tano,sita basi wanataka dunia iamini ni mchezaji bora sana. Yule Taahira na Andazi wameishia wapi? Baada ya kucheza mechi mbili tatu, tulipigiwa kelele hapa "hawa jamaa ni vitasa" leo hata first eleven hawaonekaniTimu kubwa kama Mashetani wekundu mpaka ucheze mechi 40/50 ndio tukufikirie fikirie ubora wako. Jifunzeni kwa wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaumwa.Hili ni pango la wanyang'anyi.
Hamna timu nyinyi ,mna tofauti gani na jkt oljoro. GGMU
Timu unayo ww uliyepigwa 2 mtungiHamna timu nyinyi ,mna tofauti gani na jkt oljoro. GGMU
Hili ni pango la wanyang'anyi.
Kuifunga United kusimitie upofu timu yenu ni mbovu na iko nyoronyoro sana, wanaume wako uefa wanataka ubingwa nyinyi mshachukua ubingwa tayari kwa kujifanya United. GGMU
Kwani nyie mnapigania nini msimu huu?Naam sisi ni pango la wanyang'anyi maana tumemnyang'anya MAN U 3 Point huku anaona
Umepigwa 2-0Kuifunga United kusimitie upofu timu yenu ni mbovu na iko nyoronyoro sana, wanaume wako uefa wanataka ubingwa nyinyi mshachukua ubingwa tayari kwa kujifanya United. GGMU
Wewe hujui kuwa UCL ndio mwisho hapo baada ya bahat nasibu,Kwani nyie mnapigania nini msimu huu?
ππππππ Fred mbunaπππWewe fala kweli ,
Hivi unaweza fananisha Garasa lako Fred na Fund mruguay ?
Na mtaendelea kuuziwa magarasa kila sikuView attachment 1044372
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hao wanaume waliopita na United ipo au hulijui hilo? kwajinsi ninavyoona unatamani na wewe ungekuwa miongoni mwa hao wanaume lakini ndo hivyo tena. GGMUUmepigwa 2-0
Una timu mbovu ww, usidhan hatujui ulimbahatisha PSG, timu linakaa nyuma linasubir miujiza,
Subir wanaume wamepita ,ndio mwisho wenu hapo
Man city kashinda 7 nawakumbusha, anakuja kuwazika rasmi mtaa wa 6
Na mnaenda futuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hao wanaume waliopita na United ipo au hulijui hilo? kwajinsi ninavyoona unatamani na wewe ungekuwa miongoni mwa hao wanaume lakini ndo hivyo tena, futuhi ipo kwa ajili ya timu kama asenane. GGMUUmepigwa 2-0
Una timu mbovu ww, usidhan hatujui ulimbahatisha PSG, timu linakaa nyuma linasubir miujiza,
Subir wanaume wamepita ,ndio mwisho wenu hapo
Man city kashinda 7 nawakumbusha, anakuja kuwazika rasmi mtaa wa 6
Na mnaenda futuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umeandika haya maneno kwa uchungu sana pole sana mkuu maisha ya mpira ndivyo yalivyo. GGMUWewe hujui kuwa UCL ndio mwisho hapo baada ya bahat nasibu,
EPL unaishia namba 6
FA wolves anakubaka
Na msimu kwako unakuwa umeisha ,bado hamtaki kukubali
Mimi nafas ya 3 lazima, ya 4 Chelsea
Ueropa naenda kubeba,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwenu kuifunga man u ni sawa na kuchukua kombe ?
Kwao ni zaidi ya kuchukua kombe la uefa mkuu.Hivi kwenu kuifunga man u ni sawa na kuchukua kombe ?
Sent using simu mbovu
Jua kutofautisha kati ya form na class.Wewe fala kweli ,
Hivi unaweza fananisha Garasa lako Fred na Fund mruguay ?
Na mtaendelea kuuziwa magarasa kila sikuView attachment 1044372
Sent using Jamii Forums mobile app