Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ramsey is and will forever be an Arsenal legend. Joined Arsenal at 18, rejecting Man Utd. Got his leg snapped in half, came back from a career ending injury, stayed when our best players were leaving, ended our trophy drought. Scored 2 winners at Wembley (3 times FA Cup winner).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know, lkn kama umefatilia vzr, klabu ina fight mmoja imnunue ,mmoja imchukue kwa mkopo, then summer imalize biashara, coz bajet iliyopo ni ndogo

Ila kuuza mtu kwa sasa ili tufanye signing ni ngumu, coz elneny dau lake hakuna aliyefika na hakuna aliye serious, napol wanamtaka ospina kwa £3m ambayo ni kama nothing,

Mpaka sasa denis karuhusiwa na barca, carrasco kakubali kuja ,

Ishu ipo kwenye kubagain tuwabebe kwa mkopo then summer tu finalize,

Coz summer kuna hela za mdhamin mpya ,na za emirates , ndio zitabust usajiri, maana stan hatoi hela mfukon , ni klabu ndio inajiendesha yenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toaneni ili muraisishe njia tutetee kombe..

Ila kumtoa man united inatakiwa ujipange sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Manyumbu ni kitonga, anakufa vzr, tena majeruh wamerud karibu wote, halafu man u kwa FA ni mnyonge kwa arsenal

Toka nimejitambua ,ni mara 2 tu nimeshuhudia man u akimfunga arsenal kwenye FA ni mwaka 1999 goli la giggs, na 2016 ,

Kumbuka pia nina advantage ya home,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama mapenz dah, morata si bora hata samatta mara 100

Huyo morata kupanik kila siku, usimfananishe na laca,

Laca anauwezo wa kubato na mabek hata wanne,

Anauwezo wa kufunga vzr pia,

Morata huyo ambaye akiwa na goli peke yake anapiga nje,morata ambaye hawez kubato hata na bek mmoja ,ndio umlinganishe na laca?

Morata pacha wake giroud, japo giroud anauwezo zaid ya huyo kilema morata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu inapitia hali mbaya,

Stan hataki kutoa hela,

Inabid ipigwe ambush aachie timu, hii haikubaliki hata kidogo

Emery kasema ukweli,

Wenger alikuwa anawafichia madudu , coz wenger ni true gunner ,anajua alipoitoa hii klabu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kwenye fa ninaamini tunawatoa bila shida as full back yote imerudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu ndio ukweli ambao mashabiki wanatakiwa kuambiwa ule mtindo wa kupeana matumaini umepitwa na wakati,good thing tumekua boosted na kurudi kwa wachezaji wetu 5 ambao walikua majeruhi ni vema Unai akomae na hii squad iliyopo ajaribu kuleta miujiza ya kutufikisha top 4 ingawa siwezi kumlaumu pia kama hatofikia ilo lengo pia.
 
Uhakika wa kufika ni mkubwa kuliko kutokufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa lazima iendane na mipango mizuri kupata players na kocha sahihi. but money inaipact kubwa. angalia Barca, Madrids, Milans, Juv, Bayern & Man City hizi zipo juu kwa sababu zina fedha za kutumia kuwekeza AFC itaendelea kusindikiza wengine wasipoacha ubahili wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yannick carrasco yuko vizuri toka AS Monaco ila sidhani kama ni mzuri kuzidi Dennis Suarez.... Sijajua wametumia kigezo gani kumuona Carrasco ni better kuliko Suarez!!

Dennis ni more versatile kwenye pande zote za midfield na forward line ila huyo Carrasco style yake inahitaji awe na space kubwa ili kusprint kitu ambacho kwa mabeki wa EPL hawezi pata hyo space zaidi atakuwa flop tu kma Lemar kule Atletico.
 
Uhakika wa kufika ni mkubwa kuliko kutokufika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu yangu top four sio masihara inatakiwa timu iwe mshikamano hasa na kusiwe na majeruhi ya aina yoyote ile ya muda mrefu hiki ndio kipindi ambacho hata Welbeck anakua muhimu ili kufanya squad rotation na ikiwezekana nguvu ibakie EPL tu kuokoa pumzi na muda ila Unai akileta tamaa za fisi kutaka vyote utaniambia hapa mwisho wa msimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…