RATING
1. Leno
Huyu jamaa anaanza kunishawishi kwann anatakiwa kuanzishwa badala ya *peter* kwa mfumo wa mwl anataka kipa wa kuanzisha mpira nyuma na kwa makipa wa kijeruman sina shaka nao. Jana alifanya vzr sana, anaanza kujiamin sasa
8/10
2. Berrelin
Huyu jamaa anaonekana tofauti na yule wa wenga, kipindi kile alikuwa vizr katka kukaba na cross zake zilikuwa mbovu, ila sasa anaonekana sio makini sana katka kulinda hili swala la kushambulia yuko vizur alicheza vzr sana tuachane na goli la kujifunga
6/10
3. Leichteiner
Jana hakuwa vizr kabsa mipira mingi iliarbikia kwake, naic ugeni wa ligi na namba aliochezeshwa pia goli tulilofungwa kosa lilianzia kwake, alikuwa flop of the match
3/10
4. Holding
Huyu jamaa anajiamin sana, yaani anaweza kufanya kosa usiamin kama kufanya yeye, ila jana alicheza vzr sana
6/10
5. Mustafi
Sasa hivi hii ndo nguzo ya timu, akipotea huyu beki imeyumba, alifika maeneo muhimu ambayo alitakiwa kufika na kwa wakat sahihi
8/10
6. Torreira
Moja kati ya sajili bora msimu huu ni huyu dogo, alifanya alichojisikia kufanya timu icheze vzr na kubalance angekuwa na mwili mkubwa ningesema *song* mpya
9/10
7. Mick
Naona kama formula ya mwl inamshinda maana anachelewa sana kufanya covarage, alikosa magoli mengi
5/10
8. Xhaka
Future captain, jamaa anacheza vizr jana kanipa option nyingine kwamba anaweza cheza beki ya pemben
8/10
9. Lacazette
Ukifatiliwa kwa makini utajua kwann anaanza mbele ya auba, jamaa anajua kukaba timu ikiwa haina mpira, jana ni bahati ndo haikuwa upande wake hili afunge goli alicheza vzr
8/10
10. King Ozil
Captain, huyu jamaa aliamka vzr jana, au sijui huwa ana visa na wale jamaa maana kila tukikutana nao anakuwa vzr sana na aliupiga mwingi *man of the match.
10/10
11. Iwobi
Jay jay okocha uncle, real jamaa anajua ila kuna wakat anakosa kujiamin naic ni ushindan wa namba. Kacheza vizr jana
8/10
Sub
1. Mateo
Hili ujue kazi ya ukocha ni ngumu pewa mahala pa unai halaf una viungo alionao pale, halaf chagua nan aanze mwingine asubir benchi. Jamaa anajua ila naic ugeni katka ligi ndo unamweka benchi
5/10
2. Auba.
Huyu sasa hv ni supsub, hana mambo mengi yy ni kuweka kamba, anajua kujiposition vizr
5/10
3. Ramsey
Aliingia kufanya timu itulie tu kazi ilikuwa imeisha
3/10
My opinion