Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aubameyang, Cech, Mesut Ozil and Ainsley Maitland-Niles are now all fit for tomorrow’s game. Sokratis is unavailable. (BBC) #afc
 
COLLEN ROWLAND USIRUDIE KOSA LA MAYTE RODRIGUEZ!
Yapata majuma mawili toka mwanamke kipenzi wa kiungo mshambuliaji wa Arsenal na timu ya taifa ya wales Aaron Ramsey,COLLEN ROWLAND ajifungue mapacha na kuongeza furaha katika familia yao .kama nitapata nafasi ya kuonana na mrembo huyu ningemwambia mambo mawili tu ,mosi,ningempongeza kwa kupata watoto mapacha ,pili,ningemsihi asirudie kosa alilolifanya mrembo MAYTE RODRIGUEZ !

MAYTE RODRIGUEZ ni nani? Ni mpenzi wa aliyekuwa mshambuliaji matata kabisa wa Arsenal ,Alexis Sanchez ambaye alimshawishi nyota huyo kuisaliti Arsenal na kujiunga na Mashetani wekundu kutoka jiji la Machester "Manchester United ".Mrembo huyu alimwambia Alexis kwamba "Go for manchester for my sake " yaani "kajiunge manchester kwa ajili yangu " na kwa kuwa penzi ni kitovu cha uzembe ,alexis aliacha arsenal ikiwa inamuhitaji na kujiunga huko alikoamuliwa na mpenziwe jambo ambalo analijutia kwa sasa na pengine anaomba nyakati zingejirudia.
NAMSIHI mrembo COLLEN amshauri mmewe kwamba kwa umri wake abaki Arsenal ili tupambanie ubingwa ila kama anataka dhambi ya inayomtafuna Alexis imtafune mmewe bas amshaur kama MAYTE Alivyofanya !!

COLLEN MSHAURI RAMSEY ABAKI ARSENAL NDO SEHEMU SALAMA KWAKE !!
 
HAPPY BIRTHDAY ARSENE WENGER

22 years. 1,235 games. 2,298 goals. 716 wins. 49, 49 undefeated. 7 FA Cups. 3 @PremierLeague titles. 2 Doubles. Won the league at Old Trafford. Won the league at White Hart Lane. Invincible. Legend.

There’s only one Arsène Wenger
Arsenal FC on Twitter
 


NA TAYARI WAMESHAACHANA.
 
Ndugu zangu wa arsenal nyie ni wanangu sana lakini naomba leo mtoe draw tu.

Hata mkipoteza gemu ya leo sio mbaya sana.

Tuko pamoja lakini mimi nitakuwa against Unai.
 
Ndugu zangu wa arsenal nyie ni wanangu sana lakini naomba leo mtoe draw tu.

Hata mkipoteza gemu ya leo sio mbaya sana.

Tuko pamoja lakini mimi nitakuwa against Unai.
ww tushajua wasiwasi wako hapotezi mtu game leo lazma wote tubanane apo top 4..... Unai Era
 
Ndugu zangu wa arsenal nyie ni wanangu sana lakini naomba leo mtoe draw tu.

Hata mkipoteza gemu ya leo sio mbaya sana.

Tuko pamoja lakini mimi nitakuwa against Unai.
Hakuna kitu kama hicho wewe pambana na hali yako tena nilikuwa nakuombea kichapo sema umepona pona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…