Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna uwezekano hii ikawa mechi yangu ya mwisho kuitizama, wenger mngethe sana, anaapply theory zake za uchumi ktk timu yetu, baada ya kuchukua watu wa maana. Kuna mizigo anaing'ang'ania (chamberlain, welback, theo) sijui anachukua 10%, kama leo katumia mfumo wa ovyo kabisa, yaani mane na salah wanatiririka, ngojea nijipe likizo mpaka wenger, atakapoondoka naweza nikarudi, sizani kama kutakuwa mabadiliko yoyote
 
Kwani kuhamia mahali sh. Ngapi?

Hama kabisa mkuu..
 
Mkishinda mechi tatu against bottom clubs mnasahau kila kitu. Wenger anawajulia washabiki na management ya arsenal...
 
Arsenal fc timu yangu itakuja pata unafuu Wenger akiondoka, bado anatumia tactics alizokuwa anatumia akiwa na kina Ian Wrigjt, leo ni 2017, toka 2003 hizi tactics zimekuwa way ovedue ila kagangamala nazo na anategemea different results!
 
Mobdro mechi yaonyeshwa channel ipi

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…