Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja na kutolewa nishai Stoke, bado tupo [HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
Ila babu naye kumbe ni masochist! Nilikuwa na wasiwasi naye, ila sasa nina uhakika 110%..
 
Draw ya uefa ikifanyika


Yes am cunt, next question?
 
Niffah Njoo Huku Kesho Una Kazi Tena Mnyama Akiumwa Ndo Ponapona Yako.
 
Mara hii mshaanza kulia na refa?! Lacazzete kanyimwa goal kwa sababu alikuwa offside,hata cm moja ni offside tu. Bellerin kanyimwa penati ya ndotoni kwako kwenye mechi ya jana hakukuwa na tukio hilo.
Umejibu kishabiki zaidi kuliko uelewa!
 
Hili jukwaa ndio kusema goons mmelisusa au ndo bando limekuwa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…