McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Wanacheza kitoto as if hawana future zaidi ya arsenal.HT
Arsenal 0-0 WHU
AW hua anapewa lawama tu ila hawa wachezaji hawaitendei haki jezi ya Arsenal,naamini 2nd half kutakua na mabadiliko.
Wanacheza kitoto as if hawana future zaidi ya arsenal.
Droo mbili mbili siyo matokeo mabaya ukizingatia Chelsea alishonwa nyumbani kwakeOur lineup
All the best Arsenal....COYG [emoji1548][emoji1548] ila leo kikosi kinanipa mashaka kidogo.
Wacha ufala wewe wapi man u wameshushwaWale mashetani wekundu wameshushwa chini na arsenal wanayoiita mbovu. Daaah hatareeee.