Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Komaa Mzee Prof Wenger. Kwanza wewe ni Sharaholder, pia una Share hata Jina la klabu. Si mapimbi wengine wapiga filimbi. Wenger kama Magufuli kwa Makonda...
 
I think arsenal fans are selfish, why would you want WENGER OUT? What about us the rival fans? do you even care to know what we want? WE LOVE HIM
[HASHTAG]#respect[/HASHTAG]
[HASHTAG]#inwengerwetrust[/HASHTAG]
 
we love you wenger, umefanya mashabiki maandazi wakimbie jukwaa wengine wameanza kutafuta timu za kuhamia
 
hili ONYO anatakiwa kupewa kiumbe yeyote mwenyewe anataka kuanza kushabikia arsenal
 
the only man who is able to save arsenal fans noooow
 
YEAR 2045

Wenger & his assistant manager olivier giroud on their way to manage arsenal's opening match in league 2
 
*Mimi ni shabiki wa arsenal ninaejiamini, mimi huwa sipangiwi timu ya kushangilia na mtu, na hata siku nilipoanza kuishangilia arsenal sikutumwa na mtu, nilianza peke yangu, na mimi ndiye ninayeamua nishangilie arsenal lini na wapi. nasema hivi wenger piga kazi... pigaa kaazi.*
 
Hodi humu ndani?
Wenyeji? Mko wapi?

*Mimi ni shabiki wa arsenal ninaejiamini, mimi huwa sipangiwi timu ya kushangilia na mtu, na hata siku nilipoanza kuishangilia arsenal sikutumwa na mtu, nilianza peke yangu, na mimi ndiye ninayeamua nishangilie arsenal lini na wapi. nasema hivi wenger piga kazi... pigaa kaazi.*
 
Hii thread inatia huruma wenyewe sijui wamekimbilia wapi @ManUfan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…