Your problem, you do not know that the premier League is a marathon, keep this for your memory. You need to understand the meaning of head to head first rather than coming here and preach your ignorance.
Ndugu kapumzike kwa leo. Enenda ukafanye mazoezi au soma posts tu, na kufanya ile khe kheeeee kheee. Ukifanya vyenginevyo, utapata tatizo la pressure kwa leo.
Ni ushauri tu.
Wakaanga sumu mko wapi?
Kuna msiba nchji hiii. Ho-fisi wa wa-siri ndio inakusanya michango kwa ajili ya wahanga wa daraja bovu.
Nimeona kuna msamaria inaitwa Mentor,ambaye watani wake wanamwita brother Mungiki ndio anapokea na kukusanya rambirambi. Wasilisha mchango wako kwake, utakachochangia kitakuwa kwenye mikono salama. Fedha zitakazopatika zitajengea miundo mbinu mipya na makini ya Arsenal.
Your problem, you do not know that the premier League is a marathon, keep this for your memory. You need to understand the meaning of head to head first rather than coming here and preach your ignorance.
Ohhhhh!!! Moyo wa kipenzi changu hiki tafadhali sukuma damu yake na si mengine!!! Unaona sasa amekufa na kazikwa yeleuwiiiiiiiiiiii mume wangu nitakuona wapi mie!!!!...... mimi nakwambia achana na Wenger unekazana eti moyo mashine ushapenda na nisikuulize umependea nini? Unaona sasa umedead yeleuwiiiiii!!!!!!!