Beki bora kabisa kwenye EPL kwa sasa
Beki mahiri na mshahara wa Arsenal.
Schkodran Mustafi hajawahi kupoteza mechi akichezea Arsenal
WDWWWWWWDWWDDDWWWDWWW
Mechi alizocheza 21
Mechi ambazo Arsenal imeshinda Mustafi akicheza 15
Mustafi ni Mtetezi mzuri sana wa team..very responsible..siku za usoni atafaa sana kuwa captain
Huku mtaani walishaanza kelele ati kifo cha wengi thubutuu..Mungiki brothers walikua wamejiandaa kuja kuweka kambi hapa jukwaani ila kwa sasa wameishia kua NDUGU WATAZAMAJI wanaugulia maumivu.
Huku mtaani walishaanza kelele ati kifo cha wengi thubutuu..
Ukabaji wao unaridhisha wanacope na kasi ya mchezoCome on Hull City!
Ukabaji wao unaridhisha wanacope na kasi ya mchezo
Come on Hull City!