Kumbe ulikuwa hujui
atoto? Mie ni mpenzi mkubwa sana Arsenal pamoja na siku nyingine kunikosesha raha lakini sihamii kokote kama yule
Ngongo aliyekuwa mpenzi wa Arsenal baada ya kuona vipigo vimezidi akahamia Machester United nadhani alihama na vipigo maana sasa hivi viko huko MANU. Sikujua kama nawe ni mpenzi wa soka.