Arsenal (The Gunners) | Special Thread

90min Aston Villa 0 - 2 Gunners

5min extra time .... ..



COYG ..... ..... ..... Ding ... Dong.
 


Villa defender Alan Hutton holds Theo Walcott back in the penalty area to gift Arsenal a chance for their opening goal from the spot ....
OG alizamisha bila huruma









OG akiandika goli la kwanza ....





Ramsey double the score .... ... .





COYG .... ... .Ding ...Dong.







Flamini kama kawa ... .

 


Giroud consoles his fellow Frenchman Remi Garde, the Villa boss who has inherited what is turning into a mission impossible to survive



Gunners boss Arsene Wenger pats Garde on the back after the match
as the master makes light work of his apprentice's poor side



Next victim in 8 days time, Mancs - Emirates Stadium ... ... .. bring them on ...... .
 
Wakuu kesho ndio tutafahamu nani tutakwaana naye kwenye kinyang'anyiro cha CL .. .... ..

Wakati huo huo Alexis anatarajiwa kesho Colney kwenye mazoezi akitokea Chile alikokuwa anapata matibabu na mazoezi nafuu ili kurudi kutoka kwenye injury aliyokuwa ameipata. Anategemewa kuwa fit kwa mtanange wa Mancs ... ...



Alexis Sanchez shared a picture of him in the gym working out while back home in Chile with his national coach physio
 

Wa kumuhofia ni Barca na Bayern tu,wengine tunawamudu.
 
Arsenal vs The Mighty Barcelona, duh! Hii ndo faida ya kutokumaliza top pf the group!
Ila Barca watakaa tu!
 
Mwisho wenu umefika as usually last 16...last hudle!!!
 
Maisha mazuri sana Arsenal, Peter kanenepa sana na huko mbele atakaa bench!
 

Attachments

  • 1450094024762.jpg
    16.1 KB · Views: 207
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…