Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimebet nimempa Arsenal 1&3+
So nna uhakika wa ushindi wa 3-1, 2-1 au 3 nil
Gunnerz 4ever
 
Assernal leo mnajihakikishia kutoka kwa maana mnapigwa leo na mkijitihidi sana ni sare. Pia mkumbuke baada ya gemu mnakutana na jamaa anawachinja palepale ili ajihakikishie kupita group stage wakati huo Asernal ndio ana point 1 au 0 kabisa. Huku wale wengine wakiendelea kusonga mbele. Mwaka huu Asernal kazi mnayo
 
Bayern hao
 

Attachments

  • IMG-20151020-WA0029.jpg
    38.1 KB · Views: 260
Pep Guardiola please endelea na maisha yako ya Bayern Munich, hatukuhitaji Epl...

If Arsenal are experiencing a possession of 29, what would be of the man u and Chelsea... Usije City πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unbelievable tumewachapa Bayern 2. amakweli Mpira hauna formula. Ozil Ameng'aa Sana leo
 
Full time AFC 2 - 0 BAYERN MUNICH. What a cracker from the gooners...
 

mkuu umesha pata matokeo?
 
Pep Guardiola please endelea na maisha yako ya Bayern Munich, hatukuhitaji Epl...

If Arsenal are experiencing a possession of 29, what would be of the man u and Chelsea... Usije City πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
It was a strategic game for arsenal brah. Tungefunguka ingekula kwetu, we had to contain them and wait for counter attacks and it worked marvellous for us..
 
leo Arse888 wasipopigwa nane kama walivyozoea sijui ............. Arse888 wakishinda leo, naahidi kwenda kufanya vurugu sentro.


Arsenal imeshashinda tunasubiria magazeti ya kesho kuripoti fujo ulioifanya, walivyo na usongo kwa kile kilichotokea sitaki Shari watakutafuna mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…