wewe pia. Hongera kwa ushindi mkuuuuuubwa vs mighty mighty mighty very mighty Ipswich. Najua kina DonDonald, Belo, Nzi,RRONDO wanashangilia goli la Martial vs mabeki bora duniani wa Ipswich
Hahahaha kumbe draw imeshafanyika. Hawa jamaa nadhani watakuwa wagumu. Nawakumbuka walipokuwa katika PL miaka ya nyuma waliwatoa kamasi vigogo fulani. Naomba tukutane tukiwa na full kikosi.