Ha ha ha haaah,,,,,,,tupo pamoja mkuu
Rekodi yako inajulikana Mkuu hata wewe unaijua, ungeminya tu na kuja kusherehekea ushindi baada ya dakika 90 na ushee sasa utatuweka hapa jukwaani roho juu juu 🙂🙂
wakuu miye dstv wamefanya mambo yao, embu tupieni link niangalie online tafadhali!!