Arsenal (The Gunners) | Special Thread

utafiti mtani kumbe mnatuwaza hivi jamani? Mbona sisi hatuna hata time ya kuwafikiria ? Hata mpange sababu mia nyie kesho wetu,lol
 
Last edited by a moderator:
utafiti mtani kumbe mnatuwaza hivi jamani? Mbona sisi hatuna hata time ya kuwafikiria ? Hata mpange sababu mia nyie kesho wetu,lol

Mkuu everlenk inabidi nivae miwani wakati naangali mechi, maana tukiwatoa nitashindwa kuwaangalia usoni
 
Last edited by a moderator:
After misusing him...Arsenal want to offload him at the end of the season...
 

Attachments

  • 1425810246288.jpg
    60.7 KB · Views: 190

Binafsi naamin Ozil atasababisha mechi kuwa ngumu zaid kutokana na record yake ya big mech, so naamin Nafasi yake akiichukua Rosiscky yaa viungo wa mbele akae Cazorla na Rosiscky tutapata matokeo mazuri.
So kwangu mimi ni busara kama Ozil akianzia bench.
 
Du jaman tuckimbiane tuendelee kuwa pamoja ju najua ars kifo chake kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii kwi kwi
 
Uko sahihi mkuu wale ni Wateja wetu ni sawa na mbwa kwa chatu kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwi kwi

Ni bora kujifariji mapema kabla ya kichapo kizito mtakachokipata ucku wa leo.
 
Kwel mkuuu ozil kwenye gem taf ni kilaza tu
 
Arsenal has not won at OT since 2006! Is it true??!!
 
COYG! Chapa mtu 2-0 kuwarahisishia kazi ya kumfukuza manager wao arudi kwao kupanda na kumwagilia maua.
 
everlenk anachungulia kwa mbali huku akiwa na wasiwasi wa hali ya juu πŸ™‚πŸ™‚. kwi kwi kwi kwi kwi kwi Khe Khe kheeeeeeeeeee

CC: Wacha1 na wana Gunners wote hapa jamvini.
 
Last edited by a moderator:
team v Man Utd: Szczesny, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Alexis, Welbeck

subs: Martinez, Gibbs, Chambers, Ramsey, Giroud, Walcott, Akpom #MUFCvAFC
 
United XI: De Gea, Valencia, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Herrera, Di Maria, Fellaini, Young, Rooney. #mufclive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…