Mkuu Wacha1 na wengine niaje?
Da! wakuu siwezi kuamini sikuwepo hapa zaidi ya mwezi na nusu hivi.
Timu leo imecheza ule mpira unaotakiwa na kama tukishinda pale Anfield na Upton Park tutaona tumesimama wapi.
Arsenal bado pana tatizo la DM na CB.
Leo Debuchy ilibidi acheze nafasi ya mkoba na dogo Belerin akapiga namba mbili. Wamecheza vizuri hasa Debuchy ambae alikuwa akishughulikia mipira ya juu.
Tusubiri Jumatatu tuje tufahamu nani tutapambana kwenye mtoano wa last 16 kwenye CL.