Tuliambiwa Wilshere atageuzwa kuwa Xavi,mchukueni mtakuwa mmetusaidia kufanya overhaul ya magarasa yetu.Najua Wenger anawataka Cleverly na Smalling,ingewezekana tungewapa hata bure
Tuliambiwa Wilshere atageuzwa kuwa Xavi,mchukueni mtakuwa mmetusaidia kufanya overhaul ya magarasa yetu.Najua Wenger anawataka Cleverly na Smalling,ingewezekana tungewapa hata bure
Aiseee wkiendi imekuwaje huku kwenu majiraniiiiiii!?????? Ngojeeni Demba Ba atie msumari kwa jeneza sasa!!!
aisee mkuu Mentor; hawa wenye nyumba leo wako kimya..hawataki majirani au? namtufuta Mbu; hapatikani aisee..:wacko:
Wacha fujo wewe umekuja kuwanga tu huku. Kwenu hakuna maji? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
HA AHA HA HA WACHA FUJO WACHA!
6-0 bado zinakufanya uweweseke? hapa Everton pale Besiktas.. mtajuta mwakah huu.
:A S-eek:😛eep:
Wacha fujo wewe umekuja kuwanga tu huku. Kwenu hakuna maji? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kwani nyie everton hamchezi nao ??
mi nishamaliza goodson park mmebaki nyie tu
ha ha ha ha
kataa tuone
jumamosi jioni utakuwa umeshapata majibu ya swali lako.. maana kama kawaida DIEGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
angalia sasa wewe unaweka foward mi nakuwekea kiungo ramsey mechi mbili goli mbili bado anakaba anchezesha timu we wako amesimama mbele tu ha ha ha ha
tangu ligia ianze mnacheza na waliopanda daraja ha ha ha ha

ramsey anakaba? zile goli mbili za everton zilipita wapi?
alexis sanchez # 17 jukumu lake uwanjani ni nini?:spit:
Yes ni kama ushindi banaa.... ugenini unacheza na timu nzuri kama Everton zikiwa zimesalia dakika 10 unarudisha goli zote ni ushindi banaaa...Hukuwaona wameshika vichwa kama wako msibani!?
Still 4th .....Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeee
Failing mentality kwa Arsenal fans ni kawaida. In fact inaanzia juu kabisa kwa Mr. Bean a.k.a Specialist in Failure mwenyewe anaposema kumaliza nafasi ya nne ni ubingwa.